Duration 22:21

Halmashauri ya Jiji la Dodoma kutatua changamoto ya eneo la machinga

661 watched
0
6
Published 25 Dec 2021

Halmashauri ya Jiji la Dodoma imesaini mkataba na kampuni ya Mohamed Builders Limited wa ujenzi wa awamu ya kwanza Jengo la kisasa la wafanyabiashara ndogo ndogo ( Machinga) “Open Market “ kwa thamani ya jumla shilingi Bilion 4.9 Fedha kutoka katika mapato ya ndani na zingine kutoka serikali kuu mradi utatekelezwa eneo la Bahi road Jijini hapo. Mradi utachukua eneo la mita za mraba 14,235 hadi kukamnilika utaghalimu kiasi cha shilingi Bilion 7.5 inatarajiwa ujenzi wa mradi huo kwa awamu ya kwanza utatekelezwa kwa muda wa miezi minne na siku (120)tu.

Category

Show more

Comments - 1