Baadhi ya matukio katika shughuli za makabidhiano ya zawadi kwa washindi wa wiki ya saba kwenye promosheni ya #twendemjininampesa kutoka jiji la Tanga. Tumepata kumkabidhi mshindi wa saba wa bajaji zawadi yake mpya kabisa aina ya TVS King, na washindi wengine wanne wa bodaboda mpya aina ya TVS King. Endelea kutumia M-Pesa ujiongezee nafasi ya kushinda. #pesanimpesa
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for Shamrashamra za kukabidhi zawadi kwa washindi wa wiki ya saba, Tanga: