@emmanuelgeorge78064 years agoDuuu watanzania wenginee hatuna vtamburishoo vya taifaa ilaa mmalawi anacho dah inchii hi. Amen. 1
@
@sarafinamakilkka56784 years agoLa muhimu kufunga mipaka, wageni wenyewe au wenyeji toka nje wanaweza tumia ujanja wasije humo karantini. Mungu simama ktk hli. Tuiombee sana nchi yetu wapendwa. 1
@
@muhzajphandrea71774 years agoDeo muhoza toka karagwe tumuachie mungu.
@
@joycedaudi17694 years agoSerikali inatamani kweli ifunge mipaka lkn mtaishii vp kinacho takiwa n umakin kila anae ingia ashukie kantini. 1
@
@imasimas45064 years agoMungu ata tuvusha inshaallah. From oman tunawapenda.
@
@evancetarimo13104 years agoTumuombe mungu atuepushe na janga hili la korona jaman.
@
@maryamjuma48934 years agoWw faruku karim kutoka kisiwani zanzibar ndio nini? Au hujasoma hujui ulifanyaloo?
@
@tryphinasylvester85384 years agoTrypina magezi wa tabora; tuaishukuru sana serijali ya tanzania kwa jitihada dhidi ya virusi huvi vya corina. Mungu ibariki tanzania, mungu wabariki viingozi wa nchi yetu.
@
@nuhumtali87824 years agoChamsingi muwataje majina kama wapo mitaani muweze kupata taarifa.
@
@mwanaseiph28534 years agoWageni kutoka nnje wasiruhusiwe huu ugonjwa janga. 1
@kemarsimba64584 years agoWako wengi wanamiliki vitambulisho vya taifa lakini sio raia. Kwamfano mtangazaji waledio moja (dijalo warungu) uyu ni mkenya lakini anamiliki kitambulisho cha taifa.
@
@gilbertvicent42294 years agoTunampenda umny mwalimu ila mipaka ingefungwa ili tuwe huru na tufanye kaz kwa uhuru. 1
@
@biashaallyally37014 years agoKwanini hamfungi mipaka jamani mbona nchi za wenzetu wamefunga mipaka jamani tunaomba sana.
@
@gespardanil20094 years agoHivi huyu makonda unakamata watu mbona wewe ndo unaongoza kukusanya watu, au umekosa la kuongea?
@
@godlistensingo64604 years agoMipaka ifungwe jamani. Tucfanye maigizo na huu ugonjwa. Ee mungu tunusuru na hili janga. 1
Related videos for Mmalawi akutwa na kitambulisho cha taifa cha Tanzania.: