@rosemutisya20737 years agoThanks guys 4 coming 2gether again, this is what hv being longing 4, thanx again. 4
@
@smilereigner2 years agoCan this group come together once again pls we are missing your vibes and hit songs.
@
@jasirimkombozi49267 years agoHapo sasa m' me wafunga vinwa waliokuwa wana sema mnaugonvi, safi sana vijana kazi njema, always comment from usa north carolina. 10
@
@stevekimz41652 years agoThis was the only group that could challenge sauti sol back then. 1
@
@ivanmboge8766 years agoChibaaa hongera sana mkali daah mungu fundi ama kweli yake maajabu asly tupe hara. 6
@
@syllasaimojakoyugi8224 years agoI miss yamoto band saaana in 2020 april these boys were amazing. 14
@
@powertz89137 years agoHuyu chiba ana mguu mmoja lakini anacheza kama ana miguu 3. 32
@
@kevinomondi47494 years agoWoow.!!!!???? Vitu zirudiswe kama kawaida we miss u in Kenya ..2
@
@piousjilondi88107 years agoKtk fiesta iliyokuwa na amsha n ya mwanza sio hii watu. 7
@
@bintspeech38685 years agoI wish kweli inarudi mm naipendaa ya moto band mnooo. 4
@
@molimoyodony56037 years agoUkisemea pembeni kwa kusikia kwa watu pasipo shuhudia mwenyewe utapata aibu! Walionielewa usemi huu piga like. 37
@
@wemakalam32335 years agoJamani mwenyeezi mungu mkubwa huyo dogo mguu mmoja lakini anacheza kweli. Jamani sounds imewaangusha kweli clouds. 3
@
@alirashidy82354 years agoBig up sana wanaume washokaa nakukubali sana kama au sioo jammaangu mguu mmoja lakini song linabamba. 3
@
@wolframkombo79177 years agoAslay punguza pombe ukitaka kujua utamu na ugumu muulize mr nice. 8
@
@sakinasayd73624 years agoNalipenda sana hiili kundi kama n. A. Ww unalipenda gonga like. 4
@
@meckykanga76407 years agoDar mlipoa sana aise hata ladha hakuna hamkuwapa ushirikiano kbx! 7
@
@joshlupao88783 years agoWapi likes za beka flavor kenya twawapenda sana yamoto bendi. 4
@
@ledasjosseph55587 years agoNilichogundua dar wamezoe burudan ndo maana hamna shangwe kam mikoani. 23
@
@shadyasaid20307 years agoKwanini msirudie bend yenu mmepooza sana. 3
@
@kelvinchaula22037 years agoSafi xanaaa aslay endelea kukimbiza. 22
@
@hawaynatimam9824 years agoMbona mashabiki wamepooza, halafu aslay anaonekana kalewa. 1
@
@mamanillan54174 years agoAsilay piga mzigo baba washabikii zako tupo nyumaa yakopiga keleleee kwaa yamoto band.
@
@alfredimazwile82617 years agoMwaka huu dar hamna kitu ndo fiesta iliyo poa kuliko mikoan. 3
@
@lesahnassibu2257 years agoDarwalizoea wasanii form nigeria and europe wakat vyuma vimekaza.
@
@halimamwangi18397 years agoRudini yamoto muendelee kuimba pamoja kama awali. 3
@
@asmabintikiwashatz93217 years agoJaman sku moja fanyeni nyimbo wate tumewamss. 3
@
@fatmachambotanzania93797 years agoHongera zenu ma dogo munajua hadi basi.
@
@antoniadudus7917last yearSanthaa nwapenda sana nsamani mutoe ngoma jaman ntafurh nwapenda sana.
@
@saidiasdd50434 years agoJamani aslay ajitokeze rohozetu zirudie nafasiyake kwaizotaarifa. Tunaskia.
@
@yvangalvan53797 years agoClouds mmeshoot vizuri but mmebana sana sauti za mashabiki hadi show inaonekana imepooza kumbe ilikua poa tu. 18
@
@kanzemange59112 years agoRaha jipe mwenyewe ak hii yamoto yawaka kweli hongereni sana.
@
@aishanimeipendasanajuma1015 years agoMsitengane tena mtudishen na mboso kule kapooza kueni wte mnapendeza sana mkiwa wte.
@
@saumsalim99664 years agoFanyeni mrudi pamoja tumewamiss mkiwa pamoja jmn. 1
@
@emanuelmjojo41017 years agoKibaya unatumia mitindo wa aina moja tu kila nyimba zako ukiztasmin kama znafanana ukitaka kufika mbali lazma uwe unabadlika usikalili dogo.
@
@noahgodwin41947 years agoMic za upande wa mashabiki zilikuwa mbovuu ninii? Coz no sautii.
@
@adamchapa1517 years agoEbwana dogo rudini az 1 mtetemeshe rhaa.
@
@mimaakenirram14056 years agoWatu shazi lakini amsha amna wapoa sana watu wa dar kwann.
@
@mozejcs91607 years agoNaona mwaka huu mmezingua! Bora hata wangakuja mastar wa nje ubunifu f! Nmemiss sana show kali aliyofanyaga baster lym.
@
@habarizauhakika93767 years agoShangwe ilikuwepo kubwa sana sema walikuwa wamebana sauti za mashabiki. 1
@
@shaurikiyanga60337 years agoHuyu dogo nasikia alikimbia yamoto akiwa na daftari la nyimbo.
@
@getrudaphilip29294 years agoMijitu ipo kmy hata haija furahia lkn mie nme mic yamoto bnd.
@
@ameeraaljassim41385 years agoMmmh tena asly umepinga kichupa halihiyo.
@
@asmabintikiwa18265 years agoMbosso hawez kua na nyinyi kile kikundi cha wachafu kinamfurisha kichwa.
@
@mimaarich91037 years agoI love u ya moto banda plz rudn pmja#+974.
Related videos for Aslay alivyoirudisha Yamoto Band Tigo Fiesta Grand Finale Dar:
endelea kukimbiza. 22