Comments - 507
  • @
    @aminathaabubakarmasoud5654 years ago Love you brother roma,
    you make me laugh.
    2
  • @
    @mushxwaggz52587 years ago Interview kali kabisa big up 2 roma-jonijoo. 32
  • @
    @albertchuwa90557 years ago Jonijoo we ndo mtangazaji wapresenter enbando kiivi. 5
  • @
    @umydaddy46977 years ago Nakupenda bure roma. Cool boy. Very chaming. 7
  • @
    @athumantemba89926 years ago Dah hii interview ya roma haijawahi kutokea, kali sana. 8
  • @
    @knourisgalis9676 years ago Dah! Nmeipenda hii interview jmn appreciate u ppo. 4
  • @
    @emmanuelmdemu81337 years ago Brother umeua mzee jonijo
    now you now ni shidaah aiseh.
    10
  • @
    @mussa25557 years ago Mwanangu naenjoy sn kutazama interviews zako bob! Unaumiza sn bob! Keep it up! 5
  • @
    @eddeysabaly24787 years ago Dah! Roma mungu akubariki we na family yako pamoja na kazi ya mikono yako kiukweli huwa napenda sana kazi zako kaka. 1
  • @
    @frankcostantino9784 years ago Jaman naombeni like zetu maan hii enter view ni mwanzo mwisho chap. 6
  • @
    @lucymassawe28357 years ago Hahahaha, anajibu hapohapo, sio wengine, the you know that, zinakua nyingi, big up roma. 27
  • @
    @officialj.dollatz44605 years ago Jonijooooo mmekutana na mwamba full raha yaan maswali bless majibu bless
  • @
    @francolazaro86466 years ago Dah hii sehem had nmerdia kuangalia mara ya tatu kwa sku tofaut. Imekaa poa. Viver roma. 4
  • @
    @saidahj25437 years ago Roma umetisha. Ati utafufuka ukifanywaje. 9
  • @
    @waukweelinikkon65557 years ago Dahnidai soda, uko vizuri sana kwenye kazi yako. 7
  • @
    @charlesesigira54185 years ago Hot interview, hakuna muda wa kufikiria, bandua bandika, wewe ndiyo msanii siyo wengine. A unajua a. 5
  • @
    @sadullahrajab777 years ago Dah yani we mtangazaji wanaowapa tuzo we awakuoni nn dah unanikonga nyonyo ndau. 37
  • @
    @justineelius49726 years ago Nimependa sana hii interview ya roma maana ya hicho kiswahili ni noma sana. Jonijo tisha sana kaka.
  • @
    @kihagazochangwe92526 years ago Daah ase. Jonijo so mtu mzuri. Hatafi sana.
  • @
    @salamanyamoga40547 years ago Yan roma nakupendaga bureee
    nice interview.
    1
  • @
    @muktartz73147 years ago Muchsema kwenye vipuri umenivunja mbavu. 3
  • @
    @motrathefuture6 years ago Aisee nimeipenda hiyo story ya mama ivan. Thats love man. 2
  • @
    @jjvehjjlokol92726 years ago Roma upo vizuri kaka duu vizuri majibu yako pw ila nimeielewa ya 3: 5. 7
  • @
    @orestafungafunga50053 years ago Uyujamaa noma sana hii interview sichoki kuiangalia mzee.
  • @
    @ramyramsey23387 years ago Ase mwang first interview nacheka mwenyew mzee. 11
  • @
    @EdghaMoses-js8lj5 months ago Dah roma katishaaa sana. Huyu mwamba kweliii.
  • @
    @timothmwakakusyu45637 years ago Asante sana roma uko vizuri sana ktk interview zako bt hata mimi situmiagi waret hata siku moja na siku nikiibeba naiweka kwny bag la mgongoni soo mtu anawezajua nimebeba daftari kumbe waret na kwny bag.
  • @
    @neemamahusho61935 years ago Umeona eeh ngonga like hapa kama wampnda roma. 10
  • @
    @amosirutibu12427 years ago Safi sana kazi nzur na ubunifu wa kutosha.
  • @
    @saambovutv88646 years ago Duh, jinsi unavyouliza na majibuna enjoy kinoma noma mzazii.
  • @
    @zakyahya46455 years ago Bigup mzee baba maswali na majibu yote konk. 1
  • @
    @emmanuelntemi57087 years ago Daah kwa mfano unachokaje sasa kutanzama na kusikiliza unachokifanya yaani umbunifu wa hal ya juu sio poa. 18
  • @
    @BadBoy-od9bd6 years ago Jonijo, upo mbali sana mzey, komaa sana coz shoo zako zakibabe hakukuti mtu bongo, maswali classic siondo pakutolea stress kibabe, alafu ujue nn, natumia jina lako mtaboy apa.
  • @
    @revocatusmbangule87307 years ago Hahahaa huyu jamaa ni ana akili sana asee hata majibu yake very logic. 17
  • @
    @mushojey83897 years ago Dah muulizwaji na mjibuji mpo fasta nimependa. 84
  • @
    @yasintafanuel90805 years ago Yaan jaman jon joo nakupenda mpakalaa hadi raha.
  • @
    @mkaliwenuoriginalpleasesub92977 years ago Yan roma unajieleza fresh adi rah yan dah. 15
  • @
    @justinamarwatv84155 years ago Nawapenda sana jonijo na roma. Maswali na majibu faster.
  • @
    @brightmpembela51774 years ago John roma mm mshabiki wake sana ni msanii namba moja tanzania nishatafta sana nambaake sjapata kama kuna msaada naomba nisaidie nipate mawasiliano yake.
  • @
    @petermmasi96075 years ago Jon jo unatisha kwa maswal ya hapo kwa hapo htr sn na roma umetisha pia kwa kujib maswal fasta bila kuyumba yumba big up san kwenu wote wawili.
  • @
    @marymungi21047 years ago Umetisha mzee baba nimecheka hatari ulivyo sema comment kumbe ww mwenzangu na mm maana na mm napenda sana uko poa kwenye kujibu penda sana.
  • @
    @raphaelstephano88736 years ago Uko vizur mzee baba roma nakuelewa sana.
  • @
    @faridahwiliam12466 years ago Mependa majibu na maswali fasta, good big up saana.
  • @
    @sarahbenny55757 years ago Wee jo ulisomea hayo maswali unanipa raaha. 49
  • @
    @simuyangu13566 years ago Roma uko vizuri. Majibu yako hasa ya kipuli yameniacha hoi. Sasa nitafurahi if one day i meet with you kama dk 10.
  • @
    @mariamkimwaga9437 years ago Khaa ila roma unanyoosha maneno atali. 16
  • @
    @hopekacheranga20655 years ago Roma, mr blue and fid q are my best. I call them. 6
  • @
    @micochazchaz63426 years ago Interview ya roma naipenda xana kuliko za wasanii wengine maan roma anaweza kujieleza siyo wakina ney wanaixhia aah! Aah!
  • @
    @sakinandoile94397 years ago Duh labda nife mnivalishe nimependa hilo jibu ahsante roma.
  • @
    @andrewdegera44137 years ago Haha salute jonijo sema roma kanikosha eti ukiona boy anaoga maranyingi per day wasiwasi mi naungana na wewe roma. 6
  • @
    @rachelmkumbwa87104 years ago Yaan roma he' s not only handsome but also tarented. 2
  • @
    @jasminebaibe73556 years ago Safi sana roma unajiamini nakukubali unavyojibu maswali.
  • @
    @jumanneuyuya42114 years ago Roma nakuelewa mwamba mpe salamu jonijoo.