Duration 3:29

Chadema yatangaza ilani ya uchaguzi 2020 -2025

3 316 watched
0
36
Published 4 Aug 2020

Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo #CHADEMA umeendelea jijini Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo mengine umetangaza ilani ya uchaguzi ya chama hicho kwa mwaka 2020-2025. #UchaguziMkuu2020 #Chadema #MgombeaUraisChadema AzamTVUpdates Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 19