Duration 1:40

Polisi Apigwa Na Umma, Nakuru

217 243 watched
0
336
Published 2 Oct 2014

Afisa mmoja wa polisi mjini Nakuru aliponea kifo baada ya kupigwa na umati. Inadaiwa kuwa afisa huyo alimsukuma kondakta mmoja barabarani baada ya kuzozana naye na kondkta huyo akakanyagwa na gari na kujeruhiwa. Tom wanjala na maelezo zaidi.

Category

Show more

Comments - 18