KIBONDE Alijua ATAKUFA Akaacha WOSIA, Baba, Mtoto Wasimulia
Global TV imefika nyumbani kwa Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Marehemu Ephraim Kibonde, maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar na kuzungumza na Baba mzazi na mtoto wa kwanza wa marehemu Kibonde....
Baba mzazi wa Kibonde amesema ni kama mwanae alikiona kifo chake kwani mara ya mwisho alizungumza nae akiwa hospitali muda mfupi kabla ya mauti kumkuta na akamsisitiza sana Baba yake kuwaangalia wajukuu zake yaani watoto wake watatu ambao amewaacha...
Aidha Mtoto wa kwanza wa Kibonde anayeitwa Ephraim naye ameongeza kuwa hatomsahau baba yake kwa jinsi ambavyo alikuwa mchapakazi na mara ya mwisho alipowasiliana nae alimwambia kuwa anajiandaa kurudi Dar...
Mwili wa Kibonde umeingia Dar es Salaam jana ukitokea mkoani Mwanza ambapo ndipomauti yalipomkuta...
Kibonde anatarajia kuzikwa keshi Jumamosi Machi 08, katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar...
#RIPKIBONDE
/watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
@manjumpoto1655 years agoSubhaanallah inasikitisha, inahuzunisha, inatisha wallah inshallah mungu awakuze vyema watoto, babu yao na familia kwa ujumla awape nguvu. Innaalillah wainnailayhi raajiun. 43
@
@lilianestephanie78815 years agoMy brother junior your very strong. God bless you in your life bro. Nakupenda. 27
@
@masoudgonje91675 years agoPresenter, ungefanikiwa kuona walau japo demo version yangu moja hyo ya mwaka 2010 wakati nasotea chance ya hichounge tupa mic chini kwa kishindo kisha ukarudi kujisearch upya. Yaani kifupi nakupa 13% meaning, kuwafuata wafiwa na kuwahoji 7% kwenda kuwafariji wafiwa (kama alivyosema mzee sam) 5% kuwasha camera 1% wenda shule ipo lakini talanta ni no!. ...Expand2
@
@24habari5 years agoMtoto wa kibonde ana kifua ni mvumilivu na jasiri, pia ni mwerevu. jitahidi sana kuwaangalia wadogo zako na angalia focus kama alivyokuasa mzee gundua hazina yako na itumie hiyo kujikwamua kimaisha. Kile alichokiacha baba kitumie kwa manufaa yako na wadogo zako kwakuwa hazina yako ilipo ndipo na moyo wako ulipo. Pole sana mdogo wangu. ...Expand14
@
@dorcasroma67155 years agoMay god strengthen you and the kids. Too sad. Rip kibonde.
@
@mwanajumaomahundumla65045 years agoMwanaume ni mwanaume tu itabaki kuwa hivyo mungu azidi kukupa nguvu mwanangu na akubariki wewe na wadogo zako amiin. 30
@
@glad46535 years agoMay god protect these orphans and their grandparents. So sad.
@
@miriammbula20215 years agoJunior wewe ni mwanaume wa kipekee katika familia just be strong and set a role model to your younger sisters na mungu akupe uwezo na hasa katika kipindi hiki kigumu xana rip kibonde. 19
@
@elminakalunga40305 years agoEphraim junior una sauti kama baba yako ephraim senior! Be strong and take care of you siblings and grandparents. God give strength to the children. 6
@
@emmanuelmwaka60705 years agoAmen baba mungu ndio kilakitu katika maisha yetu.
@
@janethwandi97425 years agoPoleni sana familia ya e. Kibonde. Mwenyezi mungu awape nguvu, imani, na tumaini. Naomba msimuache mungu.
@
@aminamgaya75115 years agoPole ephraim baba angu mungu akupe nguvu inshaalah. 4
@
@belezymashauri22745 years agoJunior. Ur super stronghuyu wa mbinguni tunayemuamini akupiganie siku zote katika maisha. 7
@
@giovannygracious34345 years agoEphraim aunt yangu! Ulitaman aamke alipolala umwambie sasa nimekuelewa baba! Pole aunt mungu yupo mpo salama. 1
@
@dianafrank47405 years agoPole baba ni mapenzi ya mungu na mungu akutie nguvu na umwamini mungu. 1
@
@mwanzalimajmashimba5 years agoMungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu, poleni sana tuko pamoja, tumuombee ndg kibonde mungu ampumzishe kwa amani.
@
@sarahwanjala66015 years agoBaba pole sana maneno yako yanabusara sana baba yangu kweli inauma sana ila yote nimipango ya mungu tupo pamoja nawe baba katika musiba huu.
@
@sarahrajabu98125 years agoPole sana mwanangu mwenyezi mungu awape moyo wa subra na wadogo zako mwanaume ni mwanaume mwenyezi mungu awakuze salama inshallah.
@
@noronhacompanylimited53705 years agoPole sana ephraim, kijana mwenzangu umenionesha ujasiri wa hali ya juu!
@
@rehemamsuya22635 years agoPole baba sisi wote ni wa mungu na kwake tutarejea, ila mtangazaji unaboa sana na maswali, baba nimejifunza kwako.
@
@imaniamani76715 years agoPole mdogo wangu mungu akupe nguvu na faraja.
@
@maryndosi22805 years agoPolee sana babaangu mungu awatie nguvu.
@
@gracemanase20135 years agoPoleni sana wana familia, hakika baba umeongea neno la msingi kabisa, duniani tunapita tu tunahitji kufanya tathimin ya maisha kati yetu na mungu maana hatujui . ...Expand
@
@kokujuko47065 years agoPolen wafiwa mungu awajalie hekima ma upendo wapumzike kwa amani.
@
@emmanuelbonifas35175 years agoMungu aendelee kuwa faraja yenu poleni sana na msichoke kuwaombea wazazi wenu dua kwa mwenyz mungu.
@
@shiraann6325 years agoPoleni sana mola ailaze roho yake pema peponi na awape nguvu kipindi hiki kigumu; mungu alitoa na ametwaa.
@
@reginawitacha79215 years agoPoleni familia kwa hii stuation inauma sana kwakwel.
@
@furahandelwa79005 years agoMungu akusaidie mtt uongoze ndugu zako maana umeshakuwa sasa. 11
@
@arafahassan83915 years agoMtangazaji ovyo, pole mdogo wangu, mungu awatie nguvu. R i p kibonde. 1
@
@charlittotarimo5195 years agoDuuh kwelii huyu ni ephraim kibonde jr. 8
@
@khadijanyoni24575 years agoPole junior efrahim mungu awatie nguvu wewe na wadogo zako.
@
@oliviamboma13475 years agoNi kumshukuru mungu kwa kila jambo napenda sana ulivyo strong maan najua wewe ndo wa kuwakumbatia wadogo zako mungu akupe nguvu zaidi ya kustahimili mapito yote may he rest in peace amen. 1
@
@kaundimemwinyi66445 years agoPoleni sana watoto wangu mmungu atawalinda na kuwakuza pole sana baba mmungu kapenda.
@
@alisaalis92185 years agoKwa kweli mungu alituficha siku na saa, poleni sana wanafamilia. 1
@
@maryamjey63405 years agoPoleni sana ndugu zetu wa tz. Allah awarehemu waja wake.
@
@faridaabdallah76205 years agoPolesana kijana jikaze mungu atakubariki.
@
@roidatadey86565 years agoPoleni sana watoto wa kibonde na familia kiujumla.
@
@ironefacemsovela45045 years agoMtangazaji bora ukalime maswali gn ayo? 6
@
@geegasper52245 years agoJamn ata kama ni utandawaz now days bt this is toounaulizaje wafiwa maswal kma haya tena wakat msiba bado kbsa jmn dah. That' s not good. 5
@
@mwanatz59805 years agoPoleni sana baba na watoto mungu awape nguvu kwenye kipindi hichi amiin.
@
@secylovenessadaa42455 years agoPole familia mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu.
@
@sakinamubaraka12465 years agoBaba jasiri umejikaza kiume mashaa allah.
@
@nelsonbernadtz37375 years agoPole kwa family ya kibonde na kwahuyu mtangazaji wa global.
@
@rahmahairun45645 years agoMungu ailaze roho yake mahala pema pepon.
@
@merrynancesimoni27285 years agoYupo strong kama baba yake jamani ila anaumia ndani ya moyo pole brother mungu awatie nguvu kwakweli. 1
@
@asteriamkumbo91985 years agoMungu awatie nguvu katika majonzi mlio nayo.
@
@neemamasimba29815 years agoJunior ameniliza kwa kweli da, halafu unanjuwa kujieleza nikikuangalia nalia tu. Be strong boy.
@
@stellahmutheu92495 years agoBabu ana maneno mazuri nadhani atakuwa mmoja wa mashahidi wa yehovah: mungu azidi kuwafariji.
@
@elizabethchuwa80565 years agoMwenyezi mungu awatie ngv ya kuweza kulibeba hili, na ampe pumziko la milele kaka yt ameen.
@
@shamsahassan25865 years agoMaahallah kijana una moyo wakiume mungu akupe nguvu ulee wadogo zako inshallah. 7
@
@mrishomindu42315 years agoPole sana mtangazaji taaluma imekuacha mbali mno mkuu ikimbize tena labda utaifikia. R. I. P kibonde.
@
@josephinekessy41345 years agoMungu awape nguvu wafiwa, haswa watoto.
@
@benedictaman9365 years agoMtangazaji nafikir huna taaluma vizuri ww, haiwezekani mfiwa una mhoji zaidi ya dakika kumi halafu maswali ya hovyo tu. 73
@
@heriethkisese14075 years agoMtangazaji rudi shule kasome tena umenikera sana. 16
@
@8019bm5 years agoPole kijana. mtangazaji jamani. eti utamkumbuka baba ako kwa lipi? Gani haya. Waacheni wafiwa watulie, subirini kutangaza ratiba ya msiba n. K. 1
@
@tulaveyamsuva51295 years agoNi pengo kubwa sana katika jamii poleni sana wana familia wa kibonde.
@
@nusaibahassan58425 years agoDuh so sad wallah allah awape nguvu kwa wakati huu mgumu inshaallaah.
@
@chistinawallasch28275 years agoPole sana kijana, you have to be strong men.
@
@kadogooinn91515 years agoPole sana bro, naamini baadaye unaweza kuwa kioo cha jamii baada ya kupitia magumuatakusaidia. 1
@
@sakinaomar3015 years agoInallilah wainaillah rajiur poleni sana wafiwa.
@
@mohammedabdallah63905 years agoDaah. Mtangazaji rudi shule yaani hujui mpka umepitiliza.
@
@nancynanjala57045 years agoPole sana mdogo wangu take heart and take care to your young sisters.
@
@gracemwanjabala80735 years agoHi familia mungu ariiumbaa wanamaumiv makrii lakin huwez kuyatambua kwa kuwatazam usonii maumivu yaoo.
@
@evajoymanyama22945 years agoPoleni sana aisee inaumaa kifo chake kinafanana na chababa angu ivyo yanii mtu anaenda msibani ukouko nae anaumwa nakupotezaa maisha kifo chake kimeniuma sanaa kimetonesha kidonda kilichokua kinapoa. 3
@
@suziecutecute62745 years agoMungu awape nguvu kipindi hiki na milele.
@
@nasrahcute42785 years agoNajua unapitia wkt mgumu japokuwa umejikaza, dah polen sana atimaye mmebaki yatima jmni kifo hichi, 1
@
@madinanoor25055 years agoDogo yiko powa sana pole kwa kupoteza mzazi wako mungu awatiye nguvu kwahici kipindi kigumu.
@
@tumajuma69175 years agoKijana upo strong sana, mtangazaji boyaa sana mtu amefiwa unamhoji mda mrefu tena maswali yakijinga.
@
@samsondecoman9835 years agoUyu chali nimafya kinoma ase, pole sana msela angu. 1
@
@mbarikiwambarikiwa39885 years agoJamani poleni sana, mungu ndo awe faraja yenu kuu.
@
@machasofficialsite62215 years agoDogo una akili sana unajua kuzungumza licha ya matatizo, ila mungu mwema. 24
@
@marrylema48285 years agoJamani wamemcndikiza ruge kwa ndege na yeye anarudishwa na ndege akiwa haongei inaumiza kweli kifo hakina huruma. 8
@
@waukweelinikkon65555 years agoJamani mungu awape nguvu sana, mungu awafariji hakika, awafute machozi.
@
@tedmzeru34305 years agoWatangazaji mnakera mnoo mambo izi za kuhoji wafiwa walahi huwa siwaelewagi kbx. 4
@
@anithakalist61945 years agoPole sana mwanangu mungu akutie nguvu dunia tu wasafiri so sad rip kibonde.
@
@madamboss3485 years agoWatangazaji wa tz mnaboo sana mafuguli rekebisha hao watangazaji washenzi sana.
Related videos for KIBONDE Alijua ATAKUFA Akaacha WOSIA, Baba, Mtoto Wasimulia:
jitahidi sana kuwaangalia wadogo zako na angalia focus kama alivyokuasa mzee gundua hazina yako na itumie hiyo kujikwamua kimaisha. Kile alichokiacha baba kitumie kwa manufaa yako na wadogo zako kwakuwa hazina yako ilipo ndipo na moyo wako ulipo. Pole sana mdogo wangu. ...Expand 14
mtangazaji jamani.
eti utamkumbuka baba ako kwa lipi? Gani haya. Waacheni wafiwa watulie, subirini kutangaza ratiba ya msiba n. K. 1