#masala #chutney #coriander paste
Mahitaji
Kotmiri au dhania furushi moja kubwa
Kitunguu maji 1 size ya kati
Pilipili mbichi 3 za kijani
Thomu chembe 5
Tangawizi 2 za kiasi
Majani ya Nanaa ma5
Mafuta ya alizeti vijiko vikubwa 2
Maji kikombe 1
Category
Show more
Comments - 4
Related videos for Jinsi ya kutengeza Masala ya Dania/kotmiri with English Subtitles: