@mussayasini41303 years agoMsijali ndugu zangu allah atakusimamieni. 2
@
@hadijamagufuli26613 years agoMama samia anadili na wafanya biashara wakubwa kwasasa yuko bize na corona. 1
@
@uwezowamunguutendaokazi30433 years agoPoleni sana. Sasa hao wavunjaji ni wanadamu na watanzani au? Tarehe 05/04/2021 katika maombi ya asubui saa 3 nilipo taja jina tanzania nijijibiwa tanzania ipo gizani. Wana maombi tupendane kulia na mungu mkuu) amen.
@
@thelivingwordchannel90273 years agoMagufuli alipofarik watu walikenua meno wakadhani sasa wataishi kwa raha. Tumerudi awamu ya nne kwa kasi yakwa watu wa chini kwenda mbele, na bado hiyo ni introduction tu. Ukiwa kiongozi softsoft ndo madhara yake hayo. ...Expand3
@
@SamsungGalaxy-kx2zj3 years agoWatanzania poleni sana tunacho shukuru mlipata nuru kwa miaka 5 ss wamachinga mumerudi ktk mtego wa samaki ilio baki muombeni m. Mungu atawarudishia haki. ...Expand
@
@namirihamisi38993 years agoMama samiya tafakari kunani huko halmashauri kuu? Sababu kila mkowa wananchi wanalia na halmashauri kuwavunjia biashara zao kunani halmashauri kuu wasikuharibie. ...Expand2
@
@devotajoel37303 years agoRahis mama samia uko wap jaman uko wapi kweli jaman roho inaniuma sana jaman wajasiliamali tunahangaika jaman mama samia jaman ukwapi nakutia mala tatu mama samia mama samia jaman duuu. 1
@
@andresmartin63323 years agoMama ntu wa dili tuna subira kariakoo rip jpm. 4
@
@asmamaarifa26493 years agoNi zaidi ya mgambo wa morogoro, unyanyasaji upo katika damu zao. 4
@
@hillumunna36403 years agoHuyo mama apewe ulinzi jamani duh sio kwa ukweli huo anaousema hapo r i p mfalme wa wanyonge. 1
@
@benedictmrisho23613 years agoItabidi watz tufafanue neno mnyonge jamani. Poleni.
@
@johnmasanja17623 years agoKitendawili, teegaa, mtanikumbuka kwa mazuri, na si kwa mabaya, nimeyatoa maisha yangu sadaka kwa watanzania masikini, he huyo alikuwa nani vilee, mkimtaja tu. 1
@
@vianemakarious63953 years agoAu kuna hujuma dhidi ya serikali ya mama samia? 1
@mbwanakiting71803 years agoChacha nyinyi wanyonge nchiwe wakalichana bachi. 2
@
@ashamwandu65723 years agoDunia hii kuna watu watakufa vibaya mno, watauona mkono wa mungu yupo, inauma.
@
@sultannassor48683 years agoCcm ndo ilowafikisha apo endeleeni kuchagua. 1
@
@ally2nyiii3183 years agoKumbe mama samia atakuja tu mtwara hadi hapo mlipo ila tunzeni vizuri hiyo mikataba.
@
@suleimansalim71943 years agoMama hawa nduo wamekupa kura ondosha hawa dc, rc na dec.
@
@josephngaeje57063 years agoNi vigumu watu wale kutatua matatizo yalena watu hao. Yale ya morogoro yanaendelea kujirudia. 1
@
@barnabalushenshe56713 years agoJamani vipi kwa hili. Ni ujambazi wa wateule.
@
@radhidylaizery70143 years agoHapa ndio napo mkumbuka magofuli hakuna mtu angezubutu kufanya ivi angekuwa hai. 1
@
@hamilhassan94643 years agoHamna tena kesi hapo ndo mutamkubuka hayat magufuli.
@
@mustafagehonde11543 years agoKweli inaumiza hiyo mitaji na au madeni yatalipwaje au kuwafanya watu kuwa masikini. 1
@
@hidayaamri11123 years agoMagufuli jamani sisi walalahoi hatuna msaada jamani uwiii! 1
@
@ngoshathebest2283 years agoMama samia naokuomba ukatende haki mama wanyonge kwa mahufur wameishi vizur mama na wewe uwe kama yy tunakupenda maza.
@
@mussathomasdossa46873 years agoHivi mbona wakurugenzi wengi wamekuwa wapumbafu hawa watu nchiyao wanaishi kama wakimbizi. 1
@
@joharikitundu3 years agoNakumbuka kipindi mkapa kuna tajiri alionewa ktk biashara yake. nilimpenda sana huo mbaba akaanza na aliyomkamata kafa, pili mpelelezi, aliyepeleka kesi mahakani chini mpaka majaji wote walikufa ila hao walitatakiwa wakupe ndani ya 3 ilo soko. ...Expand
@
@prettyh75093 years agoJamani maskini sio watanzania ndo maana yanatokea hayo.
@
@namirihamisi38993 years agoSheriya ifate mkondo wake na walipe mali zilizopotea. 2
@
@elyotchisanga1383 years agoMtetezi wenu kafa mama samia hawezi kuwatetea hanajipya.
@
@aminaabdallah77023 years agoLamda mkuu wamkowa aliwatuma wakavunje mnaduka yenu pamoja namkurungezi nawengine wakubwa waulinzi wamtara. 1
@
@minabuelysee83 years agoApo nikmuomba allah tu awezesh ila mkisubiria msaada wa mama samia mtasubiri sana aliekua na roho yakusaidia wanyonge hauko tena duniani. 1
@
@deusnzeran47523 years agoHawa si ndo wanavunjaga mashamba ya watu! Mama atawamaliza kabisa.
@
@nemamasawe65843 years agoKwani uchawi haupo wana mtwara, kwanini viongozi hamjifunzi kupigia wenzenu angalien sabaya na wenzake yanayowakuta, kuweni vingoz bora, kuna maisha mengine baada ya hayo.
@
@fatemaligalawa19183 years agoMama umejitoalea kuongea machunguyenu sasa wasioelewa watakusumbua saana.
@
@colestmakoloo15003 years agoAliyaongea aya magufuri kuwa tutamkumbuka ndio aya sasa.
@
@gililwise3 years agoWapi mkurugenzi na dc na rc? Rais mama waondoe wote hao.
@
@jumannemalunkwi16943 years agoHaki itendeke uonevu uishe viongozi kueni waadilifu. 1
@
@msetikebwasimasatu88493 years agoHii migogoro serikali ndo inaisababisha wameshindwa kuwa na kauli moja kwambasiyo wa kuelimisha na akaelewa kirahisi rahisi tu. Yani utatumbua mnoo ukiwafuata raia.
@
@mussaelisha37333 years agoWanataka rais haonekane mbaya. Mh mama tumbua wote.
@
@namirihamisi38993 years agoHuku watu mnawapa mikomo kusudi wajikwamue kimaisha halafu wanapofanya biashara mnawanjia na mali zinaibiwa sasa hiyo mikopo watailipaje? Au mnataka muwafilisi. ...Expand1
@
@sankofaman41123 years agoMama samia mvivu kama nini, mwafkiri atawaskiza?
@
@karimuhassan27163 years agoKabla yayote uchunguzi ufanyike ijulikane ukweli upowapi,
@
@salumrwambo57523 years agoJambo jepesi nyinyi viongozi mngekaa na hao wajasiriamali mkalizungumza kwapamoja lakini inaonesha nyinyi mpo maofisini nakutowa kauli zenu hamkutaka kujuwa matatizo yao mukajuwa la kufanya lakini mnafosi tu.
@
@briansancedo93363 years agoKweli nimeamini maisha ya watu yapo mikononi mwa vyombo vya dora, katiba inasema viongozi wa serikali watajibika kwa wananchi, vyongozi wasome vizuri katiba yetu wanapotekeleza majukumu yao ya kazi tanzania yetu sote.
@
@shabanadam21003 years agoMsinene saana hadi mkavuka mipaka mama ni mama tu siku zote ana imani na wanae atawaponya tu haraka kama kawaida yake.
@
@zindahwillson21063 years agoHiyo ndiyo ccm yenu, hamta acha kulia na bado sana, tukiwaambia mabadiliko mnatuona hatuna hakili.
@
@rehemakabata84363 years agoI con mnajitahid kuibua kero ilawasilalamike sana hiyo ndio ccm mbele kwa mbele.
@
@heyumi23403 years agoMtanikumbuka kwa mema na c kwa mabaya john pombe magufuli ulifanyawakaishi kwa aman zaidi.
@
@fatemaligalawa19183 years agoMkuu wamkoa siyule mjeda aliyeetokea kagera kazianayo.
@
@josephmakutano70673 years agoHiyondiyo tzyaccmnikipindi cha ukoloni kumbe tz bado kuna wakoloni weusi! Tatizo tanzania katiba mbovu badrisheni katiba! 1
@
@anastellangemela8763 years agoMtetezi kaondoka tutamkumbuka magufuli sana picha ndolinaanza bado picha kamili.
@
@rajabumaringo56413 years agoWanaichi. Tanzania. Viongozi. Mko. Wapi? Has a. Mtwara. Tunamkumbuka. Anko. Magu.
@
@shabanijuma20853 years agoWizi mtupu kuvunja soko usiku kuiba mali za watu. Poleni ndugu zetu kama siyo watanzania jamani r. I. P jpm.
@
@devotajoel37303 years agoSorry hivyo vichwa vya kucheka hapo vimeji bonyeza bahati mbaya naomben radhi.
@
@masanjanyanda97753 years agoMtihani huo sasa rais usiishie morogoro tu na uwe unafanya maamuzi ya haraka sio usibilie kushauriwa ndio ufanye maamuzi rais ndio kila kitu sasa watu wanalia ww umejifungia dar tu.
@
@rajabumaringo56413 years agoHaya. Mambo. Harimashauri. Wajiona. Mungu. Mtu. Kwa nini? 2025. Sio. Mbari.
@
@ameniameni6173 years agoNyie ndio mnapenda ccm amtaki upinzani wakati wapinzani ndio watetezi wenu ccm wenu wao bungeni wanadai kuongezewa posho ivo mkomae. 1
@
@yacenharuna3803 years agoNawasklze kina mama we vp, hadi kuvunjiwa soko hlo yeye pia taarifa anayo ktambo we kakae u2lie, mama mpga dili anachake ktambo mfukoni, acha nikakojoe nilale il nikue.
@
@leticiamwambiji11603 years agoMmhhh pumzika magufur wanyonge washaaza kulia.
@
@johnkawogo44723 years agoTutamukumbu a jpm serikali ya sasa nishida.
@
@mussaelisha37333 years agoMkuu wa wilaya yupo mkuu wa mkowa yupo hatari.
@
@josephmakutano70673 years agoSababu watawala wengi tz waliingia madarakani kinyamela aukiubabe kiwizi kiukatili ccm hawana huruma kwaraia wake!
@
@kasimually51373 years agoAngalia kanga uliyoiva ina alama yanini, jembe nanyundo kwaiyo ukichagua ccm wewe kubari kuwa mkulima au mfanyakazi wa ujenzi biashara wao sio kipaumbele chao.
@
@hadijahaji97123 years agoDu! Nikisikia malalamiko kama haya nalia namkumbuka john pombe magufuli. Wanasema alikuwa kiongozi dicteta ila alikuwa anatusaidia sisi wanyongewatu wanaopiga madili wengi walikuwa awataki magufuli.
@
@kelvinchidabwa25383 years agoJpm hulalepema pepon ameni nnchi yako wanao wanateseka.
@
@baghabaghaingwengwe17503 years agoFaili ya elfu 500= wakati biashara mama anauza pipi tu ama watu wanawekwa ndani cku 13 kisha kufanya biashara dogo.
Related videos for HII NI DHAMBI KUBWA/SOKO LAVUNJWA USIKU MTWARA/RC,DC NA DED WASHAMBULIWA VIKALIMama Samia Tusaidie:
ndo madhara yake hayo. ...Expand 3
nilimpenda sana huo mbaba akaanza na aliyomkamata kafa,
pili mpelelezi, aliyepeleka kesi mahakani chini
mpaka majaji wote walikufa ila hao walitatakiwa wakupe ndani ya 3 ilo soko. ...Expand
aliekua na roho yakusaidia wanyonge hauko tena duniani. 1
ilawasilalamike sana hiyo ndio ccm mbele kwa mbele.