Join this channel to get access to perks:
/channel/UCQntQMxSvcZYoJqEs5QEXjQ/join
Enjoy this compilation of Tanzanian comedy videos, funny Tanzanian memes, skits, and much more brought to you by Bambalive your first choice for Tanzania comedy online.
“BAMBA” is a Swahili word meaning “caught”. We
expect people to have simple knowledge at
the tip of their fingers hence at any place any
the time our cameras get hold of you GET READY.
Follow our social media accounts:
Twitter ► https://twitter.com/bambalive1
Facebook ► https://www.facebook.com/Bambalive-185353615520969/
Instagram ► https://www.instagram.com/bambalive/
Tumblr ► https://www.tumblr.com/blog/bambalivecomedy
EMAIL ► bambaliveads@gmail.com
Don’t forget to subscribe, download, and share this video with your friends.
#bambalive #comedy #voxpop
@bobbyswagger41596 years agoKwa tcha apo bro umezingua. Umetengeneza scene kuonekana hajui. Jamaa alikuwa anadoubt kabsa bt umemlimit saana kumuuliza af ukampa choice izo tatu na. ...Expand4
@
@karimuissaamani69696 years agoJaman sjawahi pata like hata siku moja au ninagundu, basi weka like apo dahh! 24
@
@onesmolwambano93496 years agoWangapi wamemuona mwalimu humu wa secondary. 13
@
@raymondelihuruma71216 years agoLaif linachanganya maisha kinoma mpaka mwalim. 8
@
@hajrarkuziwa7305 years agoMwal mse* kweli huyu ili fagio la muhushimiwa halijampata bado amebaki kazini mwalim hujui amphibia hujui mkuu wake wa kazi akiona hii video wallah kazi hana. 6
@
@lolanimals72065 years agoHawa watu mbona wote kama dishi limeyumba, au nyie mnawaonaje jamani? 6
@
@charzmbilinyi82355 years agoHuyo mwalimu nae chenga kweli broo ungempiga na kofi kabisa. 5
@
@charliesim95656 years agoHuyo ticha wangu hajui, lolote hata class, ni maneno tupu. 1
@
@isayabalthazarymsacky77835 years agoSiku moja uje bunju " a" shule. 2
@
@josephatipanda24516 years agoApana haya n maswali yanayomfanya mtu afikirie watu mmezoea maswali ya direct bila kushughulisha ubongo wako, we kwel umesoma japo hata mt kaishia shule. ...Expand
@
@mansooralmahruqi8856 years agoHaya sasa ni majanga makubwa kwa taifa, watu elimu duni lakini kila mtu wakanza kijihusisha na siasa na kuwahi kutoa maoni tupigane ma jana la ujinga ndio maana tunatawaliwa kimbumbumbu. 1
@
@ibrahimiddy83855 years agoJamani huyo mwalimu hata kama yeye amesoma masomo ya arts lakani amphibian na reptilian darasa la sita hivo vinapatikana hata kama hujaenda secondary. 1
@
@rasvegas89915 years agoHuyo mwalimu mbuzi hkna haja ya mshahaara kuongezaa.
@
@mtonitv5 years agoUsiache ku subscribe channel yetu ya mtoni tv. Uone mengi yanayojiri mto wa mbu. Na kote ulimwenguni. 2
@
@arnoldalphonce68856 years agoNext time weka maswali ili mtu aweze fikilia mwenyew mfano. Unaelewa nini kuhusu neno amphibia? 1
@
@charlesmwanyika19505 years agoMtaani kwetu magomeni makuti mtaa wa somanga.
@
@richardkwayson72026 years agoIvi yule mwalimu mwenye upara anafundisha shule ya wapi. 1
@
@linusngure99446 years agoNikiwa kama msaidiz wa rais mwalimu kwa nzia leo huna kaz icho ki preedety peleka kwenu. 1
@
@seifbaus76 years agoHuyu mwalim ndie mjinga zaid kuliko wote, duh banda linasaidia sn.
@
@rehemamuingia76776 years agoKiukweli nimeangali hii video nimecheka sn. 1
@
@designskeymediaagency71696 years agoUsiache kusabskwanjii channel yetu. Babu bana hahahahahaha. 2
@
@idrisdemeng72405 years agoHuyu mwalimu, kachapia kinyama hivi kaponaje huyu na sakata la walimu fake? 3
@
@abelgervas46635 years agoAaaahaaha hii inaonesha nijinsi gan watanzania wengi hawana elimu daah. 1
@
@richardmichael75235 years agoBobcat anajaa wadau upepo sana! Eti godzilla naye amphibia . 2
@
@allykione44295 years agoHuyo mwl wa secondary nae anapredict mwanafunz wake je? 1
@
@hamisidaud99126 years agoHahaa, kifua kinaniuma, hahaaa, usiachechanel yetu. 2
@jacobmwaseba59236 years agoKuna kufeli kwa aina mbili mwalimu kushindwa jinsi ya kuuliza swali na mwanafunzi kushindwa swali, hapo mwalimu umefeli mana ndio inawezekana raisi akawepo. ...Expand1
@
@mpegesaaswile65816 years agoHaya siyo maswali ya kiakili hata kidogo maana ni kweli amphibia akawa rais au kundi la wadudu wenye damu baridi kama chura, lakini pia mtu anaweza kujipa jina la amphibia na akawa rais. 1
@
@avitymendezy98915 years agoAmphibia pamoja na kuwa ni jamii ya viumbe waishio majini, sio ukweli kwamba haliwezi kuwa jina la mtu kwa sababu, ukisoma lugha huwa tunasema jina ni. ...Expand2
@
@ommyweather3465 years agoHuyo mwalimu kweli chenga duh haha! Aah! Aah!
@
@happyarooun60376 years agoYaani mwalim halafu hajui reptilia amfibi lo afaa kutumbuliw. 1
@
@chrismbalilaki24456 years agoHuyo mwalimu kapona kwenye vyeti feki!
@
@dalalimollelarusha71516 years agoOyooo usiache kusabuskwani chanel yetu nitapredict ghana. 2
@
@mamlakakahise8195 years agoAnazingua huyo amphibia rais kivip sasa, 1
@
@kingkiwango14356 years agoPresenter nmekuelewa yan mtu aktaka kupatia ww unamchanganya na kumpoteza kias kwamba hata anaejua anaanza potea. 1
@
@aminaluttu6495 years agoWe mtangazaji mungu anakuona uyo wa kusabscrib. 1
@
@eliasjilanga23206 years agoBob cat huyo mwl, kapitwa wap na vyet fet? 1
@
@saheelameir43135 years agoAcheni kuaibisha watu nyinyi kwa mambo ya kihuni.
@
@maureenmuhonja7226 years agoAmphibian: e. G. Frog, salamander anthracosauria etc. Are animals living within arboreal or freshwater.
@
@godfreymlimbila24176 years agoHuyo anachojua yeye kuvaa bagrashia tu. 1
@
@masekete6 years agoHaha wewe wajuachannel haha nisaidiee. 2
Related videos for Amphibia ni raisi wa nchi gani voxpop S04e05:
tupigane ma jana la ujinga ndio maana tunatawaliwa kimbumbumbu. 1
hahaaa, usiachechanel yetu. 2
nitapredict ghana. 2