Duration 43:14

SIKUU YANGU NGUMU YA CHRISTMASS

36 201 watched
0
282
Published 7 Jan 2022

Siku ya Xmass siku ambayo watu wengi wanakua wanasherehekea ni siku ambayo binti huyu ilikua ni siku ngumu sana kwake kuwahi kutokea kiasi kwamba hatokuja kaa aisahau... Majanga yaliyomkuta yalimpelekea mpaka kupoteza wazazi wake siku hiyo hiyo ya Xmass... Yeye anatusimulia siku hiyo jinsi mambo yalivyo mkuta... hii hapa hii Sikiliza sasa hivi

Category

Show more

Comments - 37