Duration 5:4

AIC DAR ES SALAAM CHOIR - ATURUZUKUYE (OfficialVideo)

24 924 watched
0
169
Published 9 Oct 2019

AIC DAR ES SALAAM CHOIR Tunakukaribisha kutazama wimbo Maalum kwa ajili ya Kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Ahimidiwe BWANA Mungu wetu sifa zote ni zake #ATURUZUKUYE

Category

Show more

Comments - 44
  • @
    @jifunzekuhusuwewe74754 years ago Kitambo sanaa hu wimbo ila da kuna namna mmeibadilisha umeondoa vionjo vya kale daa mmeweka vya ujanani.
  • @
    @elisha.mwabwagilo8 months ago Praise the lord.
    wapendwa wekeni album nzima ya aturuzukuye, mfanyieni bwana shangwe. Basi kwa kuwa kristo aliteswa.
  • @
    @neemamponji27203 years ago Mimi naomba ule wa christmas, yusuphu na mariam walikwenda, uyahudi ili kuwa ni kwa majina.
    wageni wengi wamejaa kwako, yesu amekosa pa kuzaliwa.
    mtuwekee tafadhari.
  • @
    @leonardbuswelu53895 years ago Nimerikiwa saana na hii nyimbo imetulia.
  • @
    @micatunestudio72105 years ago Da! Huu wimbo wa siku nyingi sana mungu awabariki sana watumishi wa mungu.
  • @
    @florameza95295 years ago Wimbo unanikumbusha msiba wa mwl nyerere uliimbwa huu wimbo mpaka basi aic mko juu. 1
  • @
    @danielmnyaga5 years ago This song is just anointed ever since
    god bless you.
  • @
    @wilsonkaseha20344 years ago So touching really! Barikiwa mtunzi kwa neema ya kipaji, na waimbaji safii.
  • @
    @edwardisack18905 years ago Hongera sana, nimependa sana huu wimbo hasa sauti zimetulia good.
  • @
    @sapiensiajoely228last year Merce nyagwaswa yuko wapi jamn? Nampenda sn tangu nikiwa mdogo.
  • @
    @jescaful5 years ago This is new version is brilliant, it' s one of my favorate old songs from 19s. Music now is more combined and well cordinated, keep improving & god bless. 5
  • @
    @mercykelly99145 years ago Happy to see you again after a while
    i' m your fun from kenya
    much love to you and great job.
    2
  • @
    @pharesmitarya48925 years ago Nimeutafuta sana huu wimbo mbarikiwejinsi maombolezo ya baba wa taifamercy nyagaswa sijamuona hapo, nakumbuka aliongoza huu wimbo, mara ya mwisho nilimuona akiwa mtangazaji, kwa sasa sijui yuko wapi. ...Expand 1
  • @
    @jasteve25 years ago Kazi nzuri sana ila mercy angemalizia kule mwisho ingekuwa balaa zaidi. Hongereni sana. 2
  • @
    @kingtoldipset70505 years ago Indeed. But i lost my vhs of the very first and origin aturuzukuye video album, where can i geta copy? Some help please! I have been blessed by the messages from it all these years.
  • @
    @mulokozimwijage75074 years ago Mmeimba vizuri sana, hata " body language" inaonyesha mnaimba toka kwenye vilindi vya nafsi zenu. Nimewapenda sanaa.
  • @
    @innocent910445 years ago Mungu awabariki kwa kazi njema wapendwa wa ktk bwana. 1
  • @
    @protasjoseph66325 years ago Nimeupenda sana. Ila duh. N wengine wangeimba pia.
  • @
    @pharesmitarya48925 years ago Nimeutafuta sana huu wimbo mbarikiwejinsi maombolezo ya baba wa taifamercy nyagaswa sijamuona hapo, nakumbuka aliongoza huu wimbo, mara ya mwisho nilimuona akiwa mtangazaji, kwa sasa sijui yuko wapi. ...Expand 1