Duration 8:49

MAJIBU YA RC GAMBO BAADA YA UJUMBE WA MAGUFULI

159 381 watched
0
424
Published 12 Feb 2020

Hii ni baada ya mama mmoja mkazi wa Arusha,kujitokeza Februari 11,2020 Jijini Dar es Salaam,kwenye uzinduzi wa majengo ya ofisi ya Manispaa na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Jijii Dar es Salaaam, nakuomba Rais wa Tanzania John Magufuli kumsaidia kwenye tatizo lake. Aidha baada ya Rais kumsikia mama huyo aliomba tatizo lake akalitatue mbele ya Mkuu wa Arusha, Mrisho Gambo.

Category

Show more

Comments - 50