Duration 1:3:4

BREAKING: Vyama vya Upinzani Waibua Mapya, Sakata la Muswada wa Siasa

9 005 watched
0
61
Published 27 Jan 2019

BREAKING: Vyama vya Upinzani Waibua Mapya, Sakata la Muswada wa Siasa Viongozi Kumi wa vyama vya upinzani Nchini wametoa maoni yao ya kupinga Muswada wa Mabadiliko ya Sheria kutokana Baadhi ya vipengele vya Muswada huo kuwa tofauti na Mtazamo wao dhidi ya Mwenge wa uhuru kufanywa Tunu ya Taifa sanjari na sherehe za Mapiduzi ya Zanzibar kusheherekewa ki Chama. Akizungumza kwa Niaba ya Viongozi wengine wa Upinzani, Naibu Katibu Mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Zanzibar Salum Mwalimu amesema kati ya Tarehe 19 na 20 mwaka huu,waliitwa Dodoma kama vyama vya siasa ili kutoa Maoni yao mbele ya Kamati ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayoshughulikia Maswala ya Katiba na Sheria. #MuswadaWaVyamavyaSiasa Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fLWebsite: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK /watch/wGU4LG4 . Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club https://goo.gl/mkvuoB

Category

Show more

Comments - 25