Duration 1:15:43

LIVE​​​​: MAZISHI YA WATU 5 WA FAMILIA MOJA, WANAODAIWA KUFIA UWANJANI WAKIMUAGA JPM..

77 496 watched
0
280
Published 25 Mar 2021

🔴#LIVE​​​​: MAZISHI YA WATU 5 WA FAMILIA MOJA, WANAODAIWA KUFIA UWANJANI WAKIMUAGA JPM.. SIMANZI, huzuni na majonzi vimetawala nyumbani kwa familia ya Daudi Mtuwa, iliyopoteza watu watano wanaodaiwa kufikwa na umauti katika shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli jana Jumapili Machi 21, 2021 katika Uwanja wa Uhuru. Miili ya watu hao inazikwa leo Machi 25, katika makaburi yaliyopo Kimara jijini Dar. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 54
  • @
    @janefrolakalinga56643 years ago Polen sn wapendwa ndug jamaa na rafiki wa inauma sn jaman du, m/mungu awape nguv katika kipind hiki kigum mlichonacho, tuwaombee ndug zetu wapumzike salama. Amina. 3
  • @
    @elianamariasantos96653 years ago Que linda ests crianas todas arrumadinha que chic! Todos quietinhos que. 1
  • @
    @seemaa1303 years ago Deepest condolence inna lila waina alaihum rajeun we belong to god and will return back to him everyone will be tasted. 3
  • @
    @nelsonmariki19813 years ago Poleni sana wapendwa wetu
    mungu awatie nguvu.
    4
  • @
    @aminamussa51223 years ago May them all and our president rest in heaven. 1
  • @
    @signaturewerber93993 years ago Poleni sana wapedwa, kweli inauma sana. Tuko pamoja katika kusali na kuomba. Mwenyezi mungu awafariji na kuwapa nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
    bwana alitoa na tena ametwaa, jina la bwana lihimidiwe.
    1
  • @
    @esthergerald67903 years ago Pole wafiwa wote, mungu amtie nguvu na uvumilivu mgane na mtoto wake aliyebaki. 1
  • @
    @t40833 years ago Raha ya milele uwape ehh bwana mwenyesi mungu awasamehe makosa yenu na awatie nguvu familia yenu. 1
  • @
    @gloriamasaka76353 years ago Poleni sana wapendwa huzuni kubwa sana mungu awafariji na huzuni ziweze kukunjuka mungu help tujali wanyonge na wenye mahitaji yatima wajane na wageni. . ...Expand
  • @
    @consolatamedard65933 years ago Jaman mbona inaumiza sana ii mungu awatie nguvu wafiwa wote. 3
  • @
    @zainabomar91393 years ago Polen sana kwamsiba uliowafika mwenyezi mungu awape subrah.
  • @
    @nancyonduru37713 years ago Polenj sana kwa kupoteza wapendwa mungu awalaze roho zao mali pema peponi. 1
  • @
    @xkingx80413 years ago Poleni sana kabisa wapendwa! Mungu awatie nguvu. 1
  • @
    @aloycemasele72363 years ago Polenimbasa na denic na familia kwa ujumla.
  • @
    @theodoryfelix85823 years ago Hakika nimajonzi na huzuni mungu utupe amani na faraja yako.
  • @
    @shanifesto90373 years ago Poleni sana jamani, dahh so sad kwa kweli. 2
  • @
    @emanuelmichael97843 years ago Poleni sana wapendwa mungu awatie nguvu jamani. 1
  • @
    @godiusmushi10753 years ago Akuna mwanadamu anaweza kuwafariji namwomba mungu awafaiji kwa njia ya kipekee kwa roho mtakatifu awavushe kwa njia yeke mwenyewe ninawapa pole mno yesu pekee.
  • @
    @Sppah6973 years ago Mnakufa kwaa jili ya nini? Kufa kwa ajili ya mungu na siyo binadamu!
  • @
    @victorialucas44763 years ago Pumzikeni kwa amani wapendwa, poleni familia. 4
  • @
    @pendokazi85403 years ago Ngumu kumeza, mungu wape wepesi wafiwa. 2
  • @
    @t40833 years ago Watanzania kwakweli tuko ktk wakati mgumu. 1
  • @
    @siporajemes7733 years ago Mmmh! Mama maic imekuvurunga kwl, kila mwanamke aliezaliwa na mwanadamu ck zake zakuishi sinyingi, da! Maic sio muchezo, wapeni bg, up wachungaji.
  • @
    @sudaiskhan52323 years ago The polite shingletelephone because thought significantly drown to a organic argentina. Curious, dear emery.
  • @
    @gloriamasaka76353 years ago Poleni sana wapendwa huzuni kubwa sana mungu awafariji na huzuni ziweze kukunjuka mungu help tujali wanyonge na wenye mahitaji yatima wajane na wageni. . ...Expand