Duration 27:13

Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 2

46 714 watched
0
534
Published 27 Feb 2021

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291 Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm� �� ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru� �� GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Joseph Haule ni mmoja ya binadamu ambao nawapenda sana kwenye dunia hii na huwezi kuamini hata yeye anajiskia hivyo juu yangu, nikiwa naye vibe na story zetu huwa zinabamba sana. Kuanzia story za maisha, muziki, historia na hata kuwacheka watu wakati mwengine, ndo zetu. Nakumbuka baada ya kumsaka asubuhi moja hivi na yeye kutodaka simu (ambayo baadae aliniambia alimpigia Sallam simu akidhani yeye ndo aliyempigia badala ya Salama), hayo maelezo niliyapata baada ya yeye kukutana na tweet ya kulalamika kwangu juu ya yeye kutorudisha simu yangu. Tumetoka mbali kiasi chetu, mkubwa kwangu kwa miaka 7 na heshima yangu kwake si ya kupima kwa kisoda. Unaweza ukawa unajiuliza sasa mbona hatukuoni naye na mambo kama hayo (hiyo mambo kama hayo nimeongea kama yeye) well... Urafiki wetu si ule wa kugandana kama kifungo na shati, au kichwa na nywele au kucha na kidole ndugu yangu, urafiki wetu ni ule wa kuendeleza pale tulipoishia na kuangalia na kwa mbali juu ya kitu mwenzio anafanya huku tukitakiana Kheri. Nakumbuka vizuri mara yangu ya kwanza kukutana na Profesa, enzi za Times FM kule mjini, kipindi hiko mimi ndo nimepata ajira yangu ya kwanza na yeye ndo alikua Msanii wa mooto sana, hard blasters wako na moto wa tipa, na nani ndo kiongozi wa nyika? Nigga Jay. Urafiki wetu ulianzia hapo, na mpaka leo tunamshkuru Mungu. Ukuaji wake hasa ndo nia na madhumuni ya mimi na wenzangu kuona Prof atatufaa sana kumalizia episode yetu ya 55 na ngwe ya kwanza ya kazi yetu hii. Zaidi kama tujuavyo, hakuna msanii hata mmoja ambaye hajawahi kuvutiwa na hustle zake za kuanzia juzi mpaka leo hapa tulipo. Na hiyo inajumuisha kipaji na UANDISHI ulosimamia kucha. Jay tunakuzimia indeed! So wapi haya yoooote yalianzia? Mpaka sasa Mbunge nje ya Bunge? Well... Hata mbuyu ulianza kama mchicha, humu Prof anazungumza na sisi juu ya masuala ya familia na safari alizopitia, mikoa aliyowahi kuishi, mahusiano kati ya Marehemu Baba yake na Mama yake, wadogo zake, Kaka na Dada zake, elimu yake, experience yake mjengoni, nini maana ya baadhi ya vitu na mambo aliyowahi kuyapitia. Pia tuliongelea kupatikana kwa binti yake pekee Lisa, jinsi alivyokutana na mke wake, kipaji chake, kwanini Mikumi na kwa mbaaali uchaguzi mkuu uliopita. Profesa ni mwana flani ivi ambaye toka zamani ramani ya mambo yake yako mfuko wa nyuma, kupotea au kupoteza malengo si jambo rahisi kwake, labda kuchelewa tu kwa hayo aloyapanga. Na hivi sasa kwa miaka mitano hii ambayo yuko nje ya bunge, pengine ndo wakati wetu wa kufaidi kipaji chake na kuokota mawili matatu kwa wale wote tunao muangalia na kupenda nyenendo zake. Tafadhali enjoy. Love, Salama. Soundtrack Yeah by @MarcoChali /watch/QLnf4BH1euC1f Follow: Twitter: http://twitter.com/YahStoneTown Instagram: http://Instagram.com/YahStoneTown Facebook: http://facebook.com/YahStoneTown Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Category

Show more

Comments - 93
  • @
    @glowingspirit6063 years ago Few are smart and they love positive content. Hats off yahstone. 8
  • @
    @nurdinchilambo14863 years ago Aisee sikutegemea kama hii ndyo interview ya kufungia msimu' nawaombea huo msimu mwingne mjipange vzur na muanze mapema tunahitaji kuendelea kujifunza maisha kupitia hizi interview. 10
  • @
    @lutusigaza21483 years ago Nimejifunza mengi sana kufuatilia interview za watu wanaojitambua yani unapata kujifunza mengi sana kuliko interview za wasanii/ watu wasio jitambua yani hujifunzi chochote. 15
  • @
    @festobenjamin88383 years ago Nilichokuja kugundua prof yuko charming xn bless up. 3
  • @
    @semdoweallyamiri67583 years ago Asante sana dada salama, hakika wewe ni mchango kwenye maisha yangu, kupitia kipindi chako. Mungu akuzidishie, amina! 3
  • @
    @fubanjenjele5213 years ago Oya legend prof jeezy, me ni fun wako kitambo tangu hard blasters crew mpk the icon, nina nyimbo zako kichwani bro, naomba namba zako jay. 1
  • @
    @andrymhoja26923 years ago Hii bonge la interview salama naomba uendelee kutuletea watu productive kama hawa, bando langu nimelitendea haki kwa kweli. Big up salama, all the best, msimu wa pili tunausubiri kwa hamu. 4
  • @
    @user-lx2un9eh2u11 months ago Nimependa kilakitu nimeshaurika vyokutosha natamani ingewndelea.
  • @
    @joshuamshani26863 years ago Msanii ni kioo cha jami professor unajua kudefine au kuakisi mwanga wa jamii nyimbo zako huwa hadithi inayopangwa kwa vina, na mashairi mazuri yanayofundisha . ...Expand 1
  • @
    @nz61813 years ago I salute you profesor j, nawaunga mkono muanzishe kipindi chatuwe wazalendoo na tuwe proud na our origin.
    @.
    2
  • @
    @saumusalimuhassan24992 years ago Allah bless you always brother prof jaynakukubali sana. 1
  • @
    @samoocoolingsystem933 years ago Achia like kwa salama kufikisha subscribe laki tatu. 2
  • @
    @swedibaruani10083 years ago Nakubali sana prof maisha yako story yako no kwl. 2
  • @
    @konceptualagency48373 years ago Serikalo hii ukiwa chadema hata kama hukosoi kama prof walimtenda kwa kumvunjia nyumba. 2
  • @
    @zefaniachowe44203 years ago Hongera sana salama, kupitia hiki kipindi, nimepata kuwafahamu kiundani watu wengi sanaa. Nimejifunza mengi sana. 2
  • @
    @rashidchimwenda3 years ago Nice interview with the legend aliyenifanya niifuatilie bongo flavour akiwa hard blasters. Kuanzia hapo niliona kuwa bongo flavour zina jumbe zinazofunza. salama huu wimbo unaoutumia kufunga kipindi naupenda sana una maneno yenye mafunzo na kuleta hamasa.
    big up kwenu
    .
    ...Expand
    3
  • @
    @geoffreybasesa20152 years ago Napenda sana soundtrack inayomaliza kipindi. Nice melody, nice lyrics.
  • @
    @saidsmaila81273 years ago Professor hakuitwa hilo jina bure kipaji na upeo wataalam wa mionomungu awazidishie nyote mzidi.
  • @
    @RamazaniMulongeca3 years ago Huyo ndo namkubali sana Tena sana, big up sana. namskia huku Naweka biti yangu.. content tosha. 1
  • @
    @mwalimuwakujitolea20303 years ago Ni shoo ya msingi sana. Inatujenga vijana. Don' t wait to come back early.
  • @
    @michaelmichael36673 years ago Best idea, nadhani kipindi chenu kitakuwa cha ubunifu na kurecoginize watu waliosukuma gurudumu la muziki na wale ambao wako behind the scene up to date. 4
  • @
    @silashemed48493 years ago Prof nakukubari mze,
    asante dada salama.
  • @
    @watsonsheckland7033 years ago All the best kwa wazo la kufanya kipindi kwa pamoja, we are waiting.
  • @
    @araphathmussa30273 years ago Poleni asee bro love longer kama no yangu yaphone dunia.
  • @
    @alfredlyimo44623 years ago Nice one good job, naomba kujua jina la wimbo kipindi kikiwa kinaisha.
  • @
    @hamyrhai99573 years ago Nice show anaekaa kiti cha kulia basi awe mzito.
  • @
    @joelinko66323 years ago Dah nikisanga ding ubunge utaupata tena one day. 1
  • @
    @turukimedia3 years ago Nimejifunza kitu kupitia intaviw hii ya mkongwe Pro Jay,, safi sana salama kutuletea legendary wa Hip Hop Tz. Thanks @salama_jabir
  • @
    @samwelmhando91043 years ago Dah episode yetu ya mwisho hii, until next offered. 1
  • @
    @abduibrahim73633 years ago Nimechekaa eti tunaongea sana vijana wa kreni hii nikweli pia uongo unapoteza kumbukumbu zetu. 2
  • @
    @bakarimngazija66723 years ago Wenyewe waliotangazwa hawana raha tuwache wafanye kama wanaweza.
  • @
    @philipfrankmakutsa96633 years ago Acha waliokuita heavy mc unastahili hilo jina.
  • @
    @jumakawambwa51763 years ago Noma cant wait for a comming session. Jr.
  • @
    @bish_daddiyao3 years ago I write thise with acapital letter the heavyweight mc of my generation big up big-prip mzee haule daima tutakumbuka. 6
  • @
    @nyabahailani31693 years ago Wakini ayubu musa abraham wote waliishi miaka10 bblia imesema wapi na professor.
  • @
    @rehemaomary66313 years ago Na wwe salama tunataka kujua historia yako. 1
  • @
    @saidsmaila81273 years ago Salama vipindi vyako vikali mno, idea zako nafyagilia sana, hivi mkasi imekuaje?
  • @
    @Fgldesigns3 years ago Naombeni sapoti yenu karibuni kusubscrine kwenye channel yangu kutazama video za ubunifu wa majengo mbalimbali. 1
  • @
    @officialkmoneyvevo31753 years ago Anachoongeea hapo kuhusu mzee wake ni ukweli mtupu r i p mzee haule. 1
  • @
    @bintibaibe19583 years ago Nimeelewa kwanini magufuli alijifanya anachagua nyimbo ya prophesa j! Ni sababu prof amesikitika sana kwenye kubomolewa nyumba yake na vitu vyote id="hidden10" viliharibiwa hapo ndio maana magu kajifanya anachagua huo wimbo kupoza hii issue but magufuli kaumiza wengi sana, mungu atalipa sawa matendo yake. ...Expand
  • @
    @martinfrancis98083 years ago Hahahahahahahaa salama aliekupa laana sijui ni nani yani nimecheka mpakaproffesor amesema baada ya nyumba yake kubomolewa pale mbezi alipata presha. Eti salama anauliza sasa. Hiyo presha ya juu ya chini dah. ...Expand
  • @
    @MrSABYY3 years ago Hello, Nina Habari njema kwako mTanzania unayeagiza magari / unayetegemea kuagiza gari..
    -
    Ivi hakuna ulazima wa wewe kujua mchan id="hidden12" class="buttons">ganuo wote wa PESA unayoitumia katika manunuzi ya GARI/MAGARI yako? Bila shaka jibu ni upo ULAZIMA. Kama upo uLAZIMA basi ACHA kununua gari kwa mfumo wa MALIPO YA AWAMU MOJA / MBILI / TATU.
    -
    Sisi tunakuagizia GARI kwa mfumo wa kila kitu unalipa wewe mteja kutoka kwenye Bank Ac yako kwenda JAPAN , na GARI inapofika BANDARINI tunakufanyia Assesment ya USHURU wako na kisha utalipia wewe Direct kwenda SERIKARINI hii inakusaidia kujua kila mchakato umetumia kiasi gani tena kwa UWAZI zaidi kuliko MALIPO ya AWAMU
    Sisi tunafanya huduma ya CLEARING & FORWARDING na utatulipa kwa huduma hiyo tu. Pia wateja wa mkoani kuna huduma ya kusafirishiwa GARI mpaka mkoani kwako.
    Waweza pitia Ac yetu kutazama kazi zilizopita pia usiache kutu-Follow ili upate elimu nzuri na ya BURE kupitia DARASA HURU la Clearing & Forwarding kupitia IGTV. Asante
    -
    Kama umependa mfumo wetu basi tumia mawasiliano haya
    DM iko wazi 24/7
    Email: charlessabikazi@
    Call/Text/WhatsApp 0653-953900
    -
    Company Name :MOFAZ MOVERS
    Location : 9the Floor PSSSF HOUSE, Samora Avenue St.
    .. ...Expand