Duration 11:26

KAULI YA MTUME MWAMPOSA KWA WATANZANIA.

39 997 watched
0
668
Published 18 Mar 2021

Boniface Mwamposa (Bulldozer) ameongea na watanzania kufuatia kifo cha Mhe. Dr. John Pombe Magufuli. #ariseandshinetanzania #2021mwakawaimani #mwamposalive

Category

Show more

Comments - 190
  • @
    @vasudepika45213 years ago All in all god is in control. Let god stand for us tanzanians. 1
  • @
    @rosemarytillya9243 years ago Tuombe mungu atupe faraja, utulivu, amani upendo kushikamana adui asipate nafasi kwa jina la yesu apumzike kwa amani. 7
  • @
    @nuwairapatrick80563 years ago Barikiwa sana mtumishi mwenyez mungu akupe afya na maisha marefu najua ni kias gan unaumia kwa jinsi mlivokuwa ni pgo kubwa sana kwetu pumzika kwa aman baba. 5
  • @
    @capitalism21283 years ago It's so sad for not only Tz but the whole of but there is a reason why is left us it's because he had done his work on the world and God is taken him to use him as his angel, Magufuri was a God given person, he is gone when we still needed him here. RIP Dr Magufuri .. ...Expand 1
  • @
    @mpockalberto78413 years ago Ameen baba, tunaamini mkono wa mungu uko nasi. 7
  • @
    @kelvinfesto3 years ago Amen mungu ni mungu tunamwamini mungu katika hiki kipind kigumu. 3
  • @
    @devotharobertkayombo66603 years ago Mungu akubariki kwa maneno mazuri baba na mtumishi wa mungu.
  • @
    @juliethcosmas10753 years ago Mungu wetu wa mbingun baba wa rehema tunaomba umpokee mikononi mwako mtoto wako na umpumzishe mahali salama amen. 3
  • @
    @greisontovagoze29333 years ago Hatuna lakusema zaid nikuendlea kumuombea rais wetu mungu amupkee hukombingn kwaupendo zaid amen. 2
  • @
    @suzanamabula20993 years ago Asante mtumishi wa mungu kwa ujumbe wako mzuri. 2
  • @
    @miriamnyanda88063 years ago Ubarikiwe mtumishi wa mungu maneno yako yametutia moyo sana kwan kipindi hiki kwetu ni kigumu sana kwa kweli. 1
  • @
    @richardjohn40583 years ago Mwenyezi mungu atupe uvumilivu kwa kipindi iki kigumu na atupe ujasiri nasalama baba mwendo umemaliza baba naamin umamaliza mwendo wako salama baba. 2
  • @
    @marthamlwafu7293 years ago Asante baba kwa kututia moyo, mungu wetu ni mwaminifu atatutetea. 2
  • @
    @mwajumakitano8423 years ago Amina, amina ewe mungu baba mpokee mwanao kwa amani,
    naiombea family ndugu jamaa na marafiki kushikamana kuwa kitu kimoja wawe na uwezo na faraja nipigo kubwa sana, mungu tubarikie watanzania. ...Expand
    1
  • @
    @epifaniamilinga28483 years ago Asante mtumishi, kwa kututia nguvu, pia tunamshukuru mungu, ameacha msingi imara.
  • @
    @neyreen5663 years ago Ee mungu mwingi wa rehema mpokee mja wako mpumzishe kwa amani mbele yako nyuma yetu. 11
  • @
    @magrethndambo76843 years ago Amen mtume mungu akubariki asante kwa kutupa maneno yenye nguvu.
  • @
    @atanito13273 years ago Mtume nisaidie mtihani nilionao leo kwa jina la yesu amen.
  • @
    @ericakimande15893 years ago Mungu amuweke pahala pema peponi apumzike kwa amani.
  • @
    @cosmasnape27023 years ago Mungu amlaze pema peponi baba etu apumzike salama amina. 2
  • @
    @marymary83133 years ago Mimi ni mkenya pole sana watanzania tulikua tunampenda maghufuli kwa kasi yake nzuri lakini mungu amempenda kutuliko, rip mzee na sisi tuko nyuma yako . ...Expand 1
  • @
    @irenealphonse27343 years ago Amen mtumishi tuko pamoja alikua baba muzuri na sisi wa congomani tuli mpenda sana basi mungu ami fariji kweli. 1
  • @
    @hplatnumz56903 years ago Amen mungu akulaze pema peponi mueshimiwa.
  • @
    @makenemakene4173 years ago Tumeumia sana walitakiwa kutwambia tumuombee mungu amponye. 2
  • @
    @kellyngogo33193 years ago Kweli mtume mioyo yetu haikuwa tayari kupokea hili. Asante mtume kweli tukubali ni kazi ya mungu. 7
  • @
    @ariceandshinelivearse53593 years ago Mungu naomba bariki tanzania yete mlezi wetu mwamposa mungu akubariki. 5
  • @
    @reginarichard26543 years ago Mungu ailaze roho ya rais wetu mahala pema peponi na damu ya yesu imfunike.
  • @
    @getrudajacob6373 years ago Mungu ametoa na mungu ametwa jina la bwana lihimidiwe.
  • @
    @labnalast75513 years ago Amina, mwenyezi mungu amwangazie mamwanga wa milele daima. 3
  • @
    @elizabethmaiko90393 years ago Nuru moamed tumuombe mungu atufaliji katika kipindiiki kigumu.
  • @
    @omegazinthalezi91233 years ago Pumzika kwa aman rais wetu mpendwa
    john pombe magufuli.
    6
  • @
    @maryaidan77453 years ago Mungu atutie nguvu watanzania tuwe wamoja tuzidishe maombi tumpate alie kama yeye jamn. 1
  • @
    @veronicamokiwa12543 years ago Hatuna la kufanya tunapaswa kusema mungu asante. 1
  • @
    @roseflowerkyara85513 years ago Amen doctor mtume kwa kutufariji watanzania.
  • @
    @alphonsinesingirankabo62743 years ago Baba mukufuli kilakitu alifanya alitumikia mungu pumuzika kwa furaha baba kifo chako kilishitula duniya nzima. 2
  • @
    @jamilaezekiel61743 years ago Polen sana mungu wa mbinguni awainue ktk kipindi hiki kigumu.
  • @
    @arthurmwabulambo12013 years ago Amina mtumishi. Umenena vyema juu ya mtumishi wa mungu raisi dr john joseph magufuri. Kwa kazi kubwa na nzuri kwa taifa hili na mengine aliyofanya neema . ...Expand 3
  • @
    @deborahelias39313 years ago Eeeh mung baba nakuomba san cloudy dugu awe wang daima na milele ktk jina la yesu kristo amen.
  • @
    @olivaluvanda45243 years ago Amina mtumishi apumzike kwa amani mbele yetu nyuma yake.
  • @
    @deborahelias39313 years ago Nimepokea uponyaji ktk jina la yesu kristo amen.
  • @
    @samkalinatours65403 years ago Pumzika kwa amani rais wetu tutakukumbuka daima. 1
  • @
    @barakamakori34753 years ago Mungu iraze roho ya rais magufuri mahari pemasana nimeumia sana.
  • @
    @janethnkembo58083 years ago Amina mtume. Kweli tumehuzunika sana. Tumeumia kweli. 1
  • @
    @nasraalfan63973 years ago Ahsante mtume, mungu aturehemu kwa kipindi hiki kigumu. 2
  • @
    @deborahelias39313 years ago Eeeh mung baba timiza haja ya moyo wang nimpte nimpndae cloudy dugu ktk jina la yesu kristo amen.
  • @
    @gloriamaharindo313 years ago Ni kweli, acha mungu aitwe mungu, poleni watanzania wenzangu, ndani na nje ya nchi.
  • @
    @lucasmogoile70973 years ago Siku zetu ni ziko kwake mungu aliye mkuu.
  • @
    @agripinaligelele93673 years ago Kweli kabisa mungu ndie mpangaji wa yote tumwachie mungu.