Duration 9:24

PROF. TIBAIJUKA ALIVYOMKUMBUKA MME WAKEMME WANGU ALIKUWA ANANIAMINI SANA

85 098 watched
0
254
Published 21 May 2020

Ni miaka 20 tangu mme wa Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka alipofariki,leo Prof Tibaijuka ameweka wazi maisha aliyonayo bila uwepo wa mme wake huku akielezea alikuwa mtu wa aina gani.

Category

Show more

Comments - 80