Duration 22:35

MWISHO: SIMULIZI: TROPEA MJI WA WAFU - 10/10 | BY FELIX MWENDA.

4 197 watched
0
107
Published 28 Jul 2020

#FelixMwenda #SimuliziMIX #Tropea

Category

Show more

Comments - 54
  • @
    @mawiamlabon58144 years ago Asante sana watunzi na wat wasimuliziyaji 1
  • @
    @saragh12434 years ago Sukuran sana simulizi mix mungu awabariki afya njema
  • @
    @janethmagemakwakeliinauma35812 years ago Hatimae nimefika mwisho asante sana kwa simulizi nzuri nimebalikiwa mnooo
  • @
    @ziyadamubark16124 years ago Simulizi nzurii hii asanteni sana tu nasubiriya mpya nyengine
  • @
    @roseyshirima74464 years ago Dah simulizi nzur mno Tunashukuru Kak felix
  • @
    @smsalama65404 years ago Kaka tuleteeeee mwendelezo wa mzim wa kahaba
  • @
    @bingwa40394 years ago Vumbi likatimuka patashika likashikika bingo ni fire......👏👏
  • @
    @sarahsarah49194 years ago Asateni Sana simlizi mix pamoja na fellix mweda
  • @
    @husnashindano11924 years ago Ndo tunatoka Tropea ivo ntatowa shukran zangu baday
  • @
    @bintimrope4 years ago Asante kwa kutumalizia simulizi mzuri. Hongera kwa mtunzi na msimuliaji hakika mwatupa burudani wadau wenu👏👏💓💓💓💓
  • @
    @nibigiramwajuma79254 years ago Shukran sana simulizi mix na msimuliaji felix mwenda na alex wamilazo kwa simulizi nzuri mbarikiwe sana 1
  • @
    @angelwadavid14444 years ago Na nimefunga kabc SAFARI YA TROPEA👌 shukrani simuliz ake endeleen kutupa mavituzi👏😍🔥 1
  • @
    @kallyjoh08284 years ago Hongeraaaaaa mwandishi na mtunzii pia tunasubiriii simuliziii nyingne tamu na nzur zaidii ya hii......HONGERA SANA FELIX MWENDAAA
  • @
    @maryamevarista94734 years ago Mmmmh kwahalihii inatisha sana kwahiyo wengi wanao kufa hawaendi kule tunako zaniaga sikuzote 😪
  • @
    @mariamkasim5354 years ago Da! Huy Miranda nae anamoyo.mim ningemkim bia Huy mume kama sio kuzimia. halafu hii story nimekuta se hemu inasimuliwa sjui itakua imei biwa au vipi!! Hongera mtunzi
  • @
    @raphaelmganga3744 years ago Asante sanaa tunasubiri mwanzo Mpya wa Simulizi itakayo fuata.
  • @
    @fallymetoo1914 years ago Bro.Felix Mwenda & Alex Wamilazo mpo makini kwenye utunzi na usimuliaji wenu... Ahsante sana kwa Hitimisho story ilikuwa powwah kabisa. 🤝 1
  • @
    @husnashindano11924 years ago Ahsanteni Mix Simulizi ❤️ shukran sana Wamilazo Alex ❤️
    Felix Mwenda 😘 😘 😘 😘 😘 😘 😘 ww umesha nilemaza na voice yako 😍😍😍😍😍😍
    Acha tusubiri safari ingine sijuwi itakuwa ya wapi 😊😊😊😊😊😊
    1