Duration 51:27

MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV

3 830 watched
0
28
Published 4 Jun 2020

Je, KMC wafanye nini ili wabaki ligi kuu? Ungana na Hasheem Ibwe akiwa na wachambuzi, James Samwel na Ally Mayay kwenye #MshikemshikeViwanjani leo saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports2, mada yetu kubwa ikiwa ni KMC na safari yake kwenye #VPL msimu huu. Hadi sasa vijana hawa wa Kinondoni #KinoBoys wana pointi 33 wakiwa nafasi ya 15 baada ya mechi 29 walizocheza katika msimu huu ambao wameliwakilisha Taifa kwenye michuano ya CAF. Utasikia mengi kutoka kwa kocha msaidizi wa timu hiyo, Habib Kondo, golikipa Juma Kaseja, uongozi wa timu pamoja na wadau wengine. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 2