Duration 12:45

CHUO KIKUU MZUMBE NI KITOVU CHA KUZALISHA WATUMISHI BORA Mhe. Anna Makinda

1 537 watched
0
20
Published 16 Nov 2018

Chuo Kikuu cha Mzumbe chafanya mkutano wa 18 wa Baraza la Masajili(convocation), mkutano uliofanyika tarehe 15 novemba 2018 katika kampasi kuu ya chuo hicho mkoani Morogoro, na kuhudhuriwa na wahitimu wa miaka yote wa chuo hicho huku mgeni rasmi akiwa ni spika mtstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anna Makinda ambaye pia amesoma Chuo hicho cha Mzumbe kuanzia mwaka 1971

Category

Show more

Comments - 0