Duration 3900

NI KWELI ALI KIBA AMNUNULIA NYUMBA OMMY DIMPOZ OMAN

5 543 watched
0
63
Published 16 Feb 2019

Muriya Masters Developers imeandaa maonesho ya nyumba za kisasa zilizopo nchini Oman. Hivyo inawakaribisha siku ya Tarehe 18 hadi 22 Februari 2019 katika ukumbi wa Hoteli Verde Zanzibar kuanzia saa nne asubuhi hadi saa kumi na moja jioni. Njoo ubadilishe Maisha yako, kwa kukaa nyumba ya Kifahari pamoja na familia yako ili upate makazi ya kudumu nchini Oman. Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #Muriya_Master_Developers #Zanzibar #KtvTzOnline #Ad

Category

Show more

Comments - 6