Duration 8:37

Neema Gospel Choir, AIC Chang'ombe - Neema Imefunuliwa (Official Video) 4K

123 590 watched
0
777
Published 12 Mar 2021

Tunaishi kwa Neema na hivyo Neema ikifunuliwa kwetu tunaweza, kutawala na kumiliki maana Kristo anakuwa ndani yetu. Kwa kuwa katika utimilifu wake sisi sote tulipokea, na neema juu ya neema. - Yohana 1:16 Humwinua mnyonge kutoka mavumbini he raises the poor from the dust Na mhitaji kutoka jaani and lifts the needy from wilderness Na kumketisha na wakuu and make him sit with the heads of his people Meza moja na wafalme one table with princes Usilie tena Bwana yu nawe dont cry any more, God is with you Hutaitwa masikini tena you will never be called poor any more Usihuzunike Bwana Yesu yu nawe don't worry for the Lord is with you Hautadharauliwa tena you will no longer be despised Bwana ni mkuu juu ya mataifa yote The Lord is the greatest over all nations Na utukufu wake ni juu ya mbingu yote and his glory is over the heavens Huweka nyumba ya mwanamke aliyetasa he sets the house of the barren woman Awe mama ya watoto wenye furaha be mother to happy babies Jina la Bwana na lihimidiwe let his name be exalted Tangu leo na milele yote from today and forevermore Usiogope adui ee never be afraid of the enemy Yesu anakulinda Jesus protects you Anakulinda Yesu, Jesus protects you, anakulinda He protects you Mungu muweza yote Great mighty God mtetezi wa wanyonge the defender of the weak Walioteswa na dunia persecuted by the world Ameahidi kukulinda He promised to protect you ahadi zake ni kweli na amini His promises are yes and amen Twasoma Daniel aliyetupwa kwenye tundu la simba as we learn through Daniel who were thrown in the lions' den Mungu aliyafunga makanwa ya simba God shut the lions' mouth Hawakumdhuru, hawakumdhuru they didn't harm him Tushukuru neema imefunuliwa let us be grateful for the grace is revealed Enzi zile za wafalme na watawala wa kidunia those ages of kigs and rulers in the world Watu walilazimishwa kuabudu na kuisujudia miungu people were forced to worship gods Meshack, Shadraki na Abednego Meshack, Shadrach, and Abednego Walitupwa katika tanuru liwakalo moto they were thrown in the furnance Sababu walikataa kuabudu sanamu Ya mfalme, ya mfalme because they refused to worship the statue of the king Neema neema grace is revealed neema imefunuliwa grace is revealed Tunatawala milele we rule and reign forever tunamiliki we own everything Tunatawala, tunamiliki we rule and reign, we own every thing Audio Recorded by: Frester's Record Video Directed by: Cylivester Graphics By: Titus Alfred Contacts: Email: neemagospelchoir@gmail.com Phone: +255 (0) 766 777 288 Instagram: neema_gospel_choir Facebook: Neema Gospel Choir Twitter: Neema Gospel Choir Telegram: Neema Gospel Choir

Category

Show more

Comments - 109