@dianamahendekamahendeka13443 years agoHappy analia bora amekufa tumebaki tunakula bata raha imerudi endeleeni mungu ana waona. 2
@
@deusdebitkowa96573 years agoKwa kweli, maisha ya magu na hata kifo chake vinawatafuna sana hawa jamaa. Mwenye haki, haki husimama naye daima hata baada ya kifo chake. 14
@
@deusdebitkowa96573 years agoNgeleja na membe wapo wapi nape? Au uliwasahau. Kumbukeni hatujawasahau. Verykujionesha waziwazi sasa. Kwa ukaribu sana. 4
@
@onesmolwambano93493 years agoHivi babu yangu walioba anashati moja tu. 2
@
@bakermusa90333 years agoSadly expect more gathering like this for some reasons. 5
@
@sheshem54533 years agoMwenyezi mungu ampumzishe kwa amani mzee nnauye. 1
@
@queenkileo36983 years agoThis gathering is interesting! makamba. does that ring bells? only membe is out. 9
@
@teddyoscar68763 years agoLeo ndio wanasheherekea kifo cha magufuli hawana lolote cheki walivyokunja nne mmh. 7
@
@gracekaboigora1893 years agoKwa sasa waliopo ni after pesa, ni maheitiemu tena bank zote. 2
@
@sokoinekagali97592 years agoNyie kila siku mnajisifia tu hicho kidogo ulitetendea taifa mungu sijui alijuaje akamfanya nyerere kukomboa taifa hili angelikuwa miongoni mwenu au baba. ...Expand
@
@jongwemomumo87293 years agoMnajipanga, nape siku zotee hajawahi kuandaa event kama hii kuna walakini. 6
@
@davejoe59493 years agoCrocodile teas moses is just your dad has been in the army. Remember mayunga and many died. Many soldiers need help right now. 2
@
@sokoinekagali97592 years agoNi kweli kabisa kuna kamchango mulikochangia kwenye taifa hini nyinyi ni miongni lkn mlikuwa mnalipwa mushahara lkn kwann hako kamchango mnakaweka mbele. ...Expand
@
@mtumishimathias77623 years agoNaona mmeanza kujiweka kweupe, hawa ndio wenyewe sasa g 7 of the state. 2
@
@saidalsalmi93133 years agoSafii sana, ccm iko vizuri, watu wasio julikana hakuna tena. 1
@
@abdallahhaji37933 years agoSasa nape kama unamshukuru nyerere kwa dhati na unamkumbuka, basi usipinge ndoto zake za bwawa la nyerere hata kidogo maana ni kwa manufaa ya tanzania. 2
@
@bakermusa90333 years agoUkweli mchungu makamba ndo kiungomama na hili genge zitto. Sad. 7
@
@ameedamilja79923 years agoAwamu ya 4 hii tupu imekutana acha wacheke tu kukumbukia enzii zao za twiga kupanda ndege kwenda nje. Ila wimbo umeleta hisia sana sijui jamaa kakumbuka nini. 3
@
@kefamwakipesile2753 years agoNeno mheshimiwa nini? Na nina na mwenye sifa gani apewe heshima ya kuitwa mweshumiwa? 2
@
@amosimwambembela49893 years agoHivi hii kumbukumbu imewahi fanyika hata mara nyingine huko nyuma?
@
@richardmziba552 years agoMche waumeoteshwa hapo. Tusubiri muda si mrefu wakati utaongea.
@
@saidimwishehekienda9333 years agoHuyu bwegekwa sauti ya kujificha] ndio fundianazingua kweli. 1
@
@ashrona98843 years agoIla fannyen yote ila mungu yupo mshakupatiana mafisadi lana ya mungu itakutafuneni. 2
@victorishengoma45993 years agoMbona jk hakumkumbuka swaiba wake nauye ila wakampresurize jpm amkumbuke?
@
@jofreymanfred65603 years agoWenye nchi hao sio nyie wapiga kelele wa chatu sasa ni raha tu, 1
@
@billgussy60993 years agoMnao tukana acheni kutukana basi kila zama na zama zake, hawa ndo wanajua siasa hawana makasiriko. 4
@
@zesootv67263 years agoWenye nchi hao siyo wapga kelele kama sisi ambao baba zetu ni kajamba nan. 1
@
@saidipara41343 years agoDahh yani kila nikiandika comment na futa. Dah.
@
@jumamnumbwa94832 years agoBrigadia moses nnauye alikuwa mjamaa haswa ajabu watoto wafuasi wa ubepari.
@
@kingbuddah63723 years agoNa ndio maana nape baba yako kanyongwa kwa sababu ya mabaya alikua akitenda.
@
@istambuliahmedi82033 years agoMtu akishakufa mambo yake yota yana katika isipokua mambo matatu sadaka yenye kuendelea au elimu ambayo watu wana nufaika kwa elimu hiyo au mtoto mwema. ...Expand
@
@sadickbudoda43613 years agoHakim ni mwenyezimungu, kuna cku atawatia nguvun watu flan na c rahic kama moja jumrisha moja. 2
@
@gracegrace62003 years agoHawa ndiyo watekaji wa taifa letu. Lazima tuwakatalie. Waache kutuonyesha machozi ya mamba. 6
@
@sheudedhusabuni31523 years agoKweri wahenge niwahengea 2 nape nimekukubari san mbele ya mzee wa msoga.
@
@geraldmwandolela85353 years agoHakika mna historia nzuri kwa kupitia wazazi wetu walifanya mengi mazuri kwa taifa, swali ni kwenu nyie watoto wao mumeifanyi nini taifa, hatuwezi kuishi. ...Expand
@
@kingbuddah63723 years agoWatanzania hawa watu walikuwa c watu wazuri ukweli awaongei wanaficha mnawaona watoto zao rohozao zilivyo walikuwa wauaji hawa.
@
@felixmathias63623 years agoSafi sana, taifa likiwa hivi hata wananchi watakuwa na umoja na raha. Kweli miaka sita tumeteseka. Wacha tupumuzike sasa. 4
@
@gracekaboigora1893 years agoBaba tumekuelewa, ila kwa muda huu hakuna tumaini kama nahuye, haina jipya? Ni majigambo.
@
@zesootv67263 years agoWashamalza yao sasa n furaha tuu si mzee ambaye alikuwa anawanyima raha kashaondoka bana sasa hivi naona mzee mweupe jino la mwanzo hadi la mwisho wao kicheko wananchi wakawaida kilio. 2
@
@laurentmkolea5223 years agoWanafiki na wapiga dili katika ubora wao. Watanzania million 60 tunaburuzwa na hawa mamba leo wanacheka tu baada ya kumuondoa mwenzao duniani. 15
@
@kingbuddah63723 years agoNyinyi wazee mlikuwa wauaji na ndio maana uyu mzee nawie alinyongwa kwa mabaya anayofanya.
@
@saidalsalmi93133 years agoSafii sana ccm imerudi kwenye mikono salama. Rip mzee mosese nnyue. 1
@
@kingbuddah63723 years agoNyinyi wote mlikuwa wauaji mmeua viongozi wengi kipindi chenu na wanenu wamelisi.
@
@gracegrace62003 years agoUkitaka kuwaona walioiteka tanzania, utawaona hapa. Wazazi serikalini, kisha wanawasukuma watoto wawo kuingia serikalini ili familia hizo ziendelee kuiongoza. ...Expand4
@
@mbwanarajab47563 years agoSafii sana. shikamaneni kujenga nchi yetu na kuondoa chuki, dharau na umasikini uliokithiri baada ya watu kukimbia na kuonewa hasa awamu ya 5 ambayo haikua na manufaa kwa watanzania. 5
@
@masinchagabriel18483 years agoJanuary hiyo nafasi uliyopo umeferi angalia sasa mpaka walioshindwa na nchi.
@
@petermushi16793 years agoMh january hufai kuwa waziri was nishati wewe ni mlanguzi. 7
@
@Bruno-ed1ps3 years agoNape anastahili kuwa waziri wa sanaa na michezo, sasa unaweka waziri wa sanaa hajui hata kuimba? mama naomba muone nape anastahili. 1
@
@TheKing-fe5os3 years agoGenge la wahuni wanasherehekea mbwa hawa. 4
@
@mugishabindeba27523 years agoWaliishi kama mashetani sasa wanaishi kama wafalme.
@
@gracekaboigora1893 years agoKumbe baba hakuwa na uchu wa madaraka! 1
@
@purumukamango50133 years agoUsiwe nakasirani yakumfanyia mtumazarayake nimakubwa, isipokuwa nawewe, kama muda umekupita, basi waombee watoto wako wabalikiwe na mungu maombiyako nimuhimu, kazi kukometi mambousipishe jambo baya kwa baya, wewe fanya kwawema. ...Expand2
@
@hadijamagufuli26613 years agoFisadi iloo sura imemshuka kwa unafiki na ufisadi mbwa wewe. 2
@
@praygodmtui14073 years agoTunawaomba endeleeni kudumisha amani na mshkamano tunawaomba mrudishe furaha kwa watanzania waliopita kwenye magumu wakati wa serikali ya awamu ya tano. ...Expand1
@
@mohamedidrisa41923 years agoHamna lolote nyie wauwajikumuuwa magu ili muendeleze kupiga madili. 3
@
@kibaangashechonge30753 years agoYote mnaongea hamtayaishi mtayachia hapohapp. 1
Related videos for LIVE: MSTAAFU KIKWETE, KINANA, MAKAMBA WASHIRIKI KUMBUKUMBU ya KIFO CHA BABA MZAZI WA NAPE NNAUYE:
makamba.
does that ring bells?
only membe is out. 9
shikamaneni kujenga nchi yetu na kuondoa chuki, dharau na umasikini uliokithiri baada ya watu kukimbia na kuonewa hasa awamu ya 5 ambayo haikua na manufaa kwa watanzania. 5
mama naomba muone nape anastahili. 1