@georgesmwanza4119last yearUne dans la vie de voir un prsident chrtien john pombe magufuli je salue cette force de conviction que te garde.
@
@aquilasmalela3383last yearJe vois une fois dans l' histoire un prsident chrtien je suis congolais mais je aim beaucoup cet homme.
@
@benedictmbelwa23853 years agoMpendwa wetu mwenyezi mungu akuweke mahali pema peponi. Amin. 28
@
@margarethkitalu31053 years agoThis is exactly extremely broken heart. Rest in peace baba wa africa. 21
@
@hymtv85043 years agoKamwe hutasahaulika kwa kazi yako nzuri kama mtanzania mzalendo, ukae mahala pema peponi umetuonyesha njia. 6
@
@neemarobson72763 years agoRest in peace unforgettable president. 9
@
@cliffordcyprian97803 years agoMungu akulaze kiongozi wa kipekee. Kiongozi wa kupigiwa mfano. Mungu akubariki mahali pema peponi. Na mungu awabariki nchi ya tanzania na ndugu wetu id="hidden1" watanzania fuateni nyayo zake hayati rais. Viongozi kenya pia na mataifa mengine tuige mfano huo. Leadership comes from and it belongs to god. ...Expand15
@
@plainojacob98052 years agoI live to remember this god fearing man the late president pombe magufuli. 1
@
@cardinaltraveltourism4682last yearA god fearing man, africa needs more leaders who will put god first, people and country before all else.
@
@florakweyunga44903 years agoWalikumaliza mpendwa wetu, lakini mungu yupo, kufa hatakufa ila chamotowote tunajua kabisaa, kifo cha jpm ni utata mtupu. 13
@
@sajidatejpar3163 years agoNo one cn be like him i salute him he is a hero. 3
@
@kiyabolnjemu96463 years agoKweli baba yeti amezikwa kwa ajili yetu! Alijitolea kufa ili sisi tuishi burma, jukumu lake lilikuwa ni kutuvusha tukiwa pamoja. Inauma sana lala salama baba. 15
@
@amockkalinga15203 years agoBaba, baba, baba nina mengi yakukukumbuka pumnzka kwa amani baba nitakukumbuka daima wala siwezi kukusahau. 7
@
@margaretmbongo34402 years agoSitakusahau ktk maisha yangu ulioyafanyakamwe mungu akulaze mahali pema peponi amina. 2
@
@ezekielchamoto52533 years agoPoleni watanzania, ila mkubali tu kua magufuli alienda kupumzika. 4
@
@esterzabron59333 years agoJaman baba yetu wa kwanza tanzania tutakuenz mile bila kukuxahau maixha yetu yotee! Pumzika kwa aman yooote jaman baba u forever and always@#. 3
@
@littlekinglittleking3303 years agoCna la kusema zaid mungu akupumnzishe tyu baba kwa aman. Kusema kwelii mim cwez kukusahau daima bado ujanitoka moyon. 2
@
@ashurajuma90863 years agoPunzika salama baba etu, hakika umetymuachia simanzi, sijui kama tutafika huko ulipotukusudia baba etu, inauma sanaa. 4
@
@katanamazurui47123 years agoWatanzania tuwe pole sote pia mungu ailaze roho ya shujaa raisi magufuli mahali pema peponi. 1
@
@moshimkumbi46253 years agoMungu ampunzishe kwa aman baba tunateseka aliekuua atalipia maana damu haiendi bure baba lala kwa aman na ongoza malika. 13
@
@hassanthoya88752 years agoHongera dkt pombe makufili rais wa tanzania. 2
@
@sandalalutubija2353 years agoAise jaman, tulikupenda ila mungu kakupenda. 5
@
@emmanuelbonifas35173 years agoMimi kwa nafisi yangu nakuombea kila siku mungu akupe raha ya milele na akusamehe upumzike kwa amankupitia kwako. 15
@
@menyajoseph97293 years agoJamani kifo nilazima lakini jpm mafisadi wa serikali wa limumaliza, inauma sana baaba ya africa rip we lost the great president of east africa. 18
@
@cosmasmlyakado3582 years agoBaba hatutakusahau kamwe pumzika kwa amani. 5
@
@yvonnerutebuka18623 years agoNguzo yetu imaralala zakama baba magu. 7
@
@syksyk72953 years agoIna lilah wa inna linah lajuun sasa tunakumbuka n tunadhd kkukumbka pumzka kwa aman baba tunakuomb uwe nas man uk wananch uliokua unatutetea tumeshaanz kunynyswa n kutesw ya rabb tusimamie. 2
@
@vickyoung8516last yearI really feel pain in my heart aki i miss this president, am from botswana. 1
@
@AA-pd4pz3 years agoJembe. Inshallah allah atakupa atakuweka sehemu nzuri. Na niko radhi basi upate pepo yangu. Mungu mbariki huyu mwamba wa chato.
@
@ramyramy34553 years agoMim naugua rohoni mpaka leo nasitasahau babaetu kipenzi cha watu wote africa, jpm alikua furaha kwa kila mtu hakua na upendeleo kbsaa alipenda wote tajiri,. ...Expand4
@
@febbycosmas62983 years agoYaani huyu baba sijui kama atatoka vichwani mwa watu. Kazi aliimaliza ndo maana mungu alimpumzisha tu mbona hapa mungu alimwokoa? Mungu endelea kutufariji. 6
@
@benjaminlijongwa37153 years agoUki. Sikiliza vizuri magifuli utajua kwanini nchi inakuwa masikini. 1
@
@youngb86723 years agoSubr niwashitak kwa mamlaka huskaaa mbwa niee naona mnashabkia kifo chake na kuanza kuandkactaarfa za uwongo hamuon aibu niee sio vzur. 1
@
@juliusdonard9333 years agoDa cjui tutapatq raisi mwingine kama hyu. 1
@
@bakariibrahimu60563 years agoMungu akulaze pema peponi amina shujaa wawa tanania hatuwezi kupata raising mwingine kama ww.
@
@rahmaramadhan97733 years agoMsituumize miyoyo yetu jamanii kwani bado tu nalia kila leo tunao mba mungu atusamehe mana tunapitiliza mpaka yakulia nanyie ndokwanza mnatuchubua roho. ...Expand16
@
@meshackntoga15663 years agoSana, hiyoo, watangulizi baadhi yao sioo. Mungu na atujalie. 1
@
@emmanuelhatangimana34313 years agoAfrica kunatakiwa viongozi wa ukwel kama mzee wetu magufuri! Huyu alikua kipenzi cha mungu! Musema ukwel! Any way mungu wetu ampokee mbinguni! Amina. 6
@
@dontiamyamba78513 years agoAsa kichwa cha habari na ujumbe mbna mda mbili tofauti nyo kutirusha roho t hapa.
@
@khadijashabani5509last yearRoho zao zimeshawatulia mungu anawangoja.
@
@faidaimmaculee283 years agoMtu mwema haishi munge mtuma congo sisi tunateseka kwa kukosa raisi.
@
@marrykilyenyi8573last yearDuuubaba daaah yan naumiaangalia tanzania vitu viko juu.
@
@remigiushaule33023 years agoKama kweli kuna binadamu amehusika na kifo chake ajue wazi kuwa damu ya mtu haipotei inalia mbele mwenyezi mungu mkuu. Itamludia tu. Huwezi kumwaga damu. ...Expand3
@
@philimonmartine96423 years agoMungu yupo tutakumbuka daima magufuli wetu. 5
@
@sharifaanna92883 years agoPumzika kwa amani baba yetu wew ni xhujaa mungu akupe raha ya milele naitaware katka maisha yak mpya abay atayaza huko bingun amin. 13
@
@fakhiqram12133 years agoRoho inauma sanaa machozi yetu tungekua yanakuamshaa ungeamka tu baba hata kwa dakika moja tu ingetoshaa kukuona.
@
@mbunah2553 years agoSiwezi ongea tena kuhusu kifo lakina naweza sema rest in peace shujaa wetu. 14
@
@annieamadeus1682 years agoHahika tunamlilia baba wawa nyonge daima.
@
@jembeally8200last yearJama pole sana baba yetu pumzika kwaamani peponi bado tunakupenda.
@
@kibaopipa3474last yearHata wao pia watakufa tena watakufa kifo kibaya sana lala mahali pema shujaa wetu.
@
@anithawidambe7543last yearKweli baba uliwatetea watu wako na nchi yako ulale salama baba.
@
@munaahmed84993 years agoWalimuua ndio na allah asimame na ww huko uliko hakika ungekuw ukifa unaamka ww umgeamka kwani watanzania tunakulilia had leo walah hatutakusahau ktk nyoyo baba amka utusikize sie watu wako. ...Expand3
Related videos for Kifo cha MAGUFULI, Chaibua HISIA Tofauti:
kunynyswa n kutesw ya rabb tusimamie. 2
lala mahali pema shujaa wetu.