Magoli yote yaliyofungwa kwenye mechi ya kimataifa ya kirafiki kati yetu Simba SC dhidi ya AFC Leopards, jumamosi ya tarehe 08/09/2018 uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.
Simba SC tulishinda kwa jumla ya magoli 4 kwa 2 dhidi ya wageni wetu AFC Leopards kutokea nchini Kenya.