Duration 5800

Rais Samia: Niko tayari kusamehe na kuanza ukurasa mpya

10 240 watched
0
59
Published 15 Dec 2021

Rais Samia ameyasema hayo katika mkutano wa wadau wa kisiasa wanaojadili hali ya demokrasia nchini baada ya kuombwa na mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia nchini Zitto Kabwe kumsamehe mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema Freeman Mbowe ambaye kwa sasa anakabiliwa na mashitaka ya ugaidi na uhujumu uchumi. #bbcswahili #tanzania #demokrasia

Category

Show more

Comments - 7