Duration 3:34

Cheki za Mbwembwe RPC Arusha akimtambulisha JPM kwa wananchi

26 602 watched
0
52
Published 9 Apr 2019

Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha Jonathani Shana amesema kuwa kazi yake ni kulinda wananchi na mali zao muda wowote hata wakati wa tendo takatifu la ndoa na hata yeye endapo atapigiwa simu usiku na yuko katika kazi hiyo ataacha na kwenda kutoa ulinzi kwa mwananchi

Category

Show more

Comments - 33