Duration 5:34

WIMBO Uliyoua WATU 100 Baada Ya KUUSIKILIZA

117 443 watched
0
918
Published 30 Jul 2019

WIMBO Uliyoua WATU 100 Baada Ya KUUSIKILIZA! Gloomy Sunday (Jumapili ya Huzuni) ni wimbo uliotungwa na Rezso Seress (Rudi Spitzer), msanii kutoka nchini Hungary mwaka 1933. Reszo alitunga maneno ya wimbo huo na kupiga mwenyewe ala ya huzuni ya wimbo huo, baada ya kuachwa na mpenzi wake. Inaelezwa kwamba kitendo cha kuachwa na mwanamke aliyekuwa akimpenda sana, kilimfanya apatwe na huzuni kali na msongo wa mawazo, na katika kipindi hicho ndipo alipopata wazo la kutunga mashairi na baadaye kuutengeneza wimbo huo. #gloomysundaysong /playlist?list ... /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 157
  • @
    @sir.lulenje48275 years ago Duh hataree sana. Mi nlisalitiwa nikausikiliza huu wimbo badala ya kufa nmepata dem mwngne na tuko pa1 tunauskiliza na unatupa usngz mnonoo. 24
  • @
    @ashab25375 years ago Ila ndugu mtangazaji mashaallah, sauti yako inajua kutangaza hadi moyoni. 8
  • @
    @lilianbilly55093 years ago Kabla ya kuuskiliza nimeshuka chini kusoma comments nipe like kama na wewe umefanya ivo.
  • @
    @yirgayemyirgah78205 years ago Daah huo wimbo sio nimeuckia tu kidogo nkajikuta namkumbuk marehm mbwa wangu daah inauma sana.
  • @
    @paulmgoli48535 years ago Mbn me nmesikiliza cjafa tn nmeweka repeat one nakua nalalia inanipa ucngizi mzuri sana what a song. 1
  • @
    @mrishompemba99695 years ago Ulipoanzwa kuimbwa ngekufa apa ungentambua. 6
  • @
    @mubanassortz88495 years ago wimbo huu naufaham sana niliwahi kuusikiliza habari zake.
  • @
    @tygaboydizzo5 years ago Bro you' re talented mungu awe pamoja nawe bro.
  • @
    @zakiasadick5805 years ago Kibongo bongo ukiachwa unakomaa na status za vijembe tuwalah bongo sihami. 14
  • @
    @madamloveness72745 years ago Yaan wanaume wa zamani walikuwa na upendo wa kweli kabisa, ila siku hizi ukimwacha mwanaume anakutafuta akue kwa kukuchoma na moto. 11
  • @
    @maryamashmrei99995 years ago Kenya wanawake tupo' busy kutafuta pesa wala sio mapenzi. 1
  • @
    @missjasmine44475 years ago Wabongo hatuwezi kufa coz nimatapeli wamapenzi. 5
  • @
    @James-xf9yk5 years ago Nyimbo ukisikiliza huwezi elewa kiurahisi. Tafuta lyrics za kingereza. 1
  • @
    @micamathew64335 years ago Ahh sawa tu mbn! Wajiue tu lkn ujue tu ukishafanya hivi, kule kwa mungu baba hutahurumiwa. So yaan usijefanya kitu kama hicho cha kujiua. Ni hatari kuliko kitu kingine chochote. Epuka.
  • @
    @user-zj5mp9rk3k9 months ago Walijiuaje maana me hapa nasikiliza huku nafua nguo.
  • @
    @violetvayo83585 years ago Sasa mimi niende kukiua nimesikili mpaka nine dawnilod. 1
  • @
    @fatmajumaa10695 years ago Mimi liniachwa tangu mwaka 2008 nanikiujua wimbo huo nitajiuwa pia. 3
  • @
    @zuleyvendor65775 years ago Wanaume wa zamani ulikuwa ukiwaacha wanaimba nyimbo za huzuni kujifajiri. Ila wanaume wa siku hz ni mashetani ukiwaacha wanakuwinda wakuuwe. 30
  • @
    @remiomar71545 years ago Hata siuwelewi kwa karne hz tukiimba tutaonekana n mashizi maana hakuna anaeuwelewa. 4
  • @
    @mauwabijoux69665 years ago Maraba nimewahi kukuskiliza napenda story zako pia unasauti ya kuvutia ongera. 4
  • @
    @janabtv36645 years ago Je? Na kanyaga ingekuwa inauwa? Tanzania nzima bendera ingekuwa nusu mlingoti. 36
  • @
    @khayratmuhamed67305 years ago Lol! Ki bongo ufe kwa ajil ya nyimbo haijawah kutokea. 22
  • @
    @boazmvellah62865 years ago Duuh mambo yanabadilika dunia ya sasa hv mtyu anasikia mziki anacheza ila miaka hyo ukisikia unakufwa.
  • @
    @marygaspary1995 years ago Nakumbuka simu zilipoanza kuingia tanzania, tulikuwa tunasoma label ya simu zilizokuwa zikitoka hungury. 4
  • @
    @saidliko335 years ago Gloomy sunday ni nyimbo yenye hisia kali maana alieimba aliitumia kama sehem ya kulalamikia au kutolea machungu yake ndio maana kwa kila aliye na machungu magumu yaliushinda uvumiliv wa moyo.
  • @
    @zenahjuma4395 years ago Hahahhahahahahaa mkuje na kwetu tuwauwe na huku. 2
  • @
    @eunicejoseph38705 years ago Ila sisi wa sasa hv hata tukiuskia hatufi ndio ujue watu wa sasa hv ni wabishi. 9
  • @
    @petermwanyondo64595 years ago Pepo kweli ww kanyaga ndonini mnatuletea nyimbo zakiteja hamna llte. 1
  • @
    @jumannemashaka20065 years ago Jamani nikweli kabisa, hata mimi nilijiua baada ya kuuckia huu wimbo. 4
  • @
    @erickmachua88295 years ago Leotafuta vizuri historia ya huo wimbo utajua kuwaleo ni kama zile soga tulizokuwa tunasimuliwa na bibi zetu. 1
  • @
    @bintiiddy70435 years ago Hembu wasanii wa bongo utafsirini huo wimbo kiswahili nami niskilize huenda nijiuwe na mimi maana nimeachwa. 1
  • @
    @hollymore49045 years ago Ngoja no download io nyimbo niwatumie ma x. 16
  • @
    @ashab25375 years ago Wanawake wa sasa tunawaza pesa sie, tufanyeje ili tuingize pesa, hizo song hazina nafasi kwa mkichwa wala mapenzi, yaani ukiachwa usijiumize tafuta mwingine azibe pengo upesi sana.
  • @
    @maliethnyoni28475 years ago Mm kuna kipindi niliachwa na mwanaume ninaempenda kutoka moyoni nililia niliumia ila niliona bola niende dukani nikanunue maji masafi na kunywa na kulala tuu maisha yanenderea.
  • @
    @marrythomas82975 years ago Simulizi yako ndo imenifanya ninywesiyo huo mwimbo ata sijauelewa kwahiyo sifi ng' o.