Duration 7:55

TAKUKURU YAMDAKA ‘SANGOMA FEKI’ KWA KUTAPELI MILIONI 100 NA KUOMBA RUSHWA YA NGONO

107 watched
0
0
Published 10 Apr 2021

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Dodoma inamshikilia Luka Nkini mwenye umri wa miaka 38,mkazi wa Airport jijini Dodoma kwa tuhuma za kujifanya mganga wa kienyeji huku akiwataka baadhi ya wakina mama kingono kama sharti la kuwasaidia ambapo amejipatia kiasi cha Sh.Milioni 105 na viwanja viwili.

Category

Show more

Comments - 0