Duration 25:13

MAIDA WAZIRI- Mwanamke tajiri aliyeuza mitumba

4 033 watched
0
26
Published 10 Sep 2019

Maida alianza kuuza mitumba na sasa anatambulika kimataifa kama mwanamke mkandarasi anaefanya vyema katika tasnia hiyo. ikiwemo kutunukiwa vyeti mbalimbali. kwa sasa anatoa elimu ya kuhamasisha kwa vijana juu ya kujitambua na kujua nini wanapenda kufanya katika maisha yao .

Category

Show more

Comments - 14