Duration 6:13

Kazi Na Sifa Za Kiungo Namba 8 - Football

7 389 watched
0
50
Published 25 Aug 2021

Katika video hii tunazichambua sifa na kazi za kiungo namba 8(nane) katika mpira wa miguu(Football). Kazi za kiungo Namba 8 1. Kuunganisha team ya mbele na ya nyuma 2. Kusaidia ukabaji(Ulinzi) 3. Kusaidia mashambulizi 4. Kupiga pasi 5. Kutengeneza nafasi za magoli Sifa za kiungo Namba 8 1. Maono mazuri (Good vision) 2. Uwezo mzuri wa kupiga pasi 3. Stamin(Msuli wa kutosha) 4. Control na techniques 5. Uwezo wa kukaba #KaziNaSifa #ZaKiungo #Namba8 #Football #Mpriawamiguu #motechspot

Category

Show more

Comments - 9